Pinacolada
Member
- Jun 30, 2022
- 22
- 57
NielekezeKwan kinacholipiwa kodi kila mwez n tin namba au lesen ya biashara?
Wapendwa habari zenu, naomba kuuliza kwa mtu ambae alikata TIN ya biashara lakini hakuanza iyo biashara na Tin alipewa,sasa n miaka miwili hakurudi,je hyo kuifufua Tin haina shida na hakuna faini??Naomba mwenye experience na ili anijulishe
NdioUnamaanisha unaitaka ile namba tena?
Ingia tu kwenye website yao jaza,nenda sehem yq kujihudumia hakikisha una ile namba ya simu ulisajilia utapewa tenaNdio
Vipi mkuuWapendwa habari zenu,
Naomba kuuliza kwa mtu ambae alikata TIN ya biashara lakini hakuanza hiyo biashara na Tin alipewa, sasa ni miaka miwili hakurudi, Je hiyo kuifufua Tin haina shida na hakuna faini? Naomba mwenye experience na ili anijulishe.