Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,587
Japo siyo mfugaji ila nakubaliana na weweWakuu, mm ninafuga ndege hao aina tatu.
Nilichogundua, bata anahimili magonjwa sana, pia vyakula hachagui sana. Bata wana nyama nyingi sana na wanauzwa hadi 35,000 kwa jogoo mkubwa. Bata hawana uhitaji mkubwa wa madawa au vyakula vya dukani.
Kuku ni wadhaifu kwenye magonjwa. Wanakufa sana. Pia speed yao ya kukua siyo kubwa.
Bata ana nyama tamu sana kuliko kuku na kanga.
Mimi ni mfugaji na nakubaliana sana na wewe. Inahitaji uwe na mbinu nzuri sana kuweza kuwauza au kujua watu wenye hali ya maisha ya kuweza kununua na namna ya kuwapata. Ukijua wateja wako ni kina nani, na wanapatikana wapi fanya. Ukishindwa ingia kwenye uanguaji utauza vifaranga kwa bei zaidi ya broiler kwa wale bata wa kisasa ambapo wateja wako watakuwa ni wafugaji.Wakuu, mm ninafuga ndege hao aina tatu.
Nilichogundua, bata anahimili magonjwa sana, pia vyakula hachagui sana. Bata wana nyama nyingi sana na wanauzwa hadi 35,000 kwa jogoo mkubwa. Bata hawana uhitaji mkubwa wa madawa au vyakula vya dukani.
Kuku ni wadhaifu kwenye magonjwa. Wanakufa sana. Pia speed yao ya kukua siyo kubwa.
Bata ana nyama tamu sana kuliko kuku na kanga.
Ukiona kiumbe hasumbuliwi na magonjwa huyo ni sumu..bata hanatofauti na kunguru.Wakuu, mm ninafuga ndege hao aina tatu.
Nilichogundua, bata anahimili magonjwa sana, pia vyakula hachagui sana. Bata wana nyama nyingi sana na wanauzwa hadi 35,000 kwa jogoo mkubwa. Bata hawana uhitaji mkubwa wa madawa au vyakula vya dukani.
Kuku ni wadhaifu kwenye magonjwa. Wanakufa sana. Pia speed yao ya kukua siyo kubwa.
Bata ana nyama tamu sana kuliko kuku na kanga.
HahahahaUkiona kiumbe hasumbuliwi na magonjwa huyo ni sumu..bata hanatofauti na kunguru.
Pia soko lake gumu.
#MaendeleoHayanaChama
Ukifuga bata umefuga kwajili yako na familia yako ukitegemea ufuge kibiashara imekula kwako..watakunya hadi kwenye makochi.Bata hana soko la haraka...nimewafuga sanaa., Wateja wa bata ni wachache, wakihama kikazi kupata mteja mpya shughuli
Kwamboga watamu jamani 🤣 🤣Bata hana soko la haraka...nimewafuga sanaa., Wateja wa bata ni wachache, wakihama kikazi kupata mteja mpya shughuli
Wewe inaelekea haujawahi kuisikia nyimbo ya Mzee Isser Matona inayoitwa "Nyama ya Bata ni tamu" acha kabisa wewe bwanaeeeeee.Ukiona kiumbe hasumbuliwi na magonjwa huyo ni sumu..bata hanatofauti na kunguru.
Pia soko lake gumu.
#MaendeleoHayanaChama
Me nafuga bata,kanga na kuku aisee kipindi hiki cha kanga kutaga hutotamani kuacha kuwafuga na pia ni wavumilivu sana wa magonjwa na nyama yake Ina ladha Murua sana
Sanaaa na ndo yanatengenezewa chips yai hayana tofauti sana na ya kuku wa kienyeji ila ya kanga yanakua madogo kdgMayai yake yanauzika?
Tazama mayai ya kangaSanaaa na ndo yanatengenezewa chips yai hayana tofauti sana na ya kuku wa kienyeji ila ya kanga yanakua madogo kdg
AiseeUkiona kiumbe hasumbuliwi na magonjwa huyo ni sumu..bata hanatofauti na kunguru.
Pia soko lake gumu.
#MaendeleoHayanaChama