Kufuga bata ni bora kuliko kuku na kanga

Banda liwe na milango miwili wakuingilia na wa kutokea... Wanapotoka asubuhi ni moja kwa moja kwenye bwala la mtope wacheze huko wachafuke tani yao, wakirudi jioni wanapitia bwawa la maji safi waoge kisha bandani
Kuna ulazima gan kuwepo bwawa la matope au wanapenda
 
Mkoa gan upo boss
 
Je bata anafugika karibu na bwawa la samaki? Hawezi kuwa threat kwenye bwawa?
Bata anaweza kufugwa karibu na bwawa bila ya kuwa na madhara kwa viumbe wa kwenye bwawa.
Cha muhimu ni kuzingatia idadi ya hao bata.
 


Wakuu

Naomba Ushauri Kwa Wazoefu Waliwahi Kufuga Bata Bukini (Goose)
Ninao Wawili Jike Na Dume, Mara Ya Kwanza Alitaga Mayai Manne
Akatamia Kwa Muda Wa Kutosha Zaidi Ya Siku 21,Ila Baadaye Tukaona Haangui Vifaranga. Ikabidi Tupasue Japo Moja Tukakuta Ndani Ni Meupe




Ametaga Tena Mayai 6 Amelalia Zaidi Ya Siku 28 Lakini Shida Imetokea Ile Ile
Hakuangua Vifaranga, Je Tatizo Laweza Kuwa Nini?
Nifanyeje Aweze Kuangua Vifaranga Endapo Atataga Tena Kwa Mara Ya 3



Tafadhali Wazoefu Na Ambao Wanajua Lolote Ambalo Laweza Kuondoa Shida Niliyoisema. Banda Nimewajengea Nzuri, Sehemu Anayotagia Nimeweka Maranda Ya Mbao Chini, Pia Nimekata Drum La Litres 20 Nikajaza Maranda Vizuri
Kuhakikisha Mayai Yake Yanakuwa Vizuri
 
Pole sana ndugu jaribu kuwakaguwa labda majike wote hao.
 
Makinda ya bata Bukini WAPO UKONGA MOSHI BAR
Call 0783 29 11 07
 

Attachments

  • B69F8193-7270-466B-98C9-292B11F3469B.jpeg
    728.8 KB · Views: 54
  • 850A4C1B-1DE4-4634-BD18-B054CC229ADC.jpeg
    913.6 KB · Views: 40
Nina shamba karibu na mto. Mto unasamaki wa kutosha. Je nikifuga bata waende mtoni watarudi kweli kwenye makazi yao au watafuata tuu maji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…