Blackmambaa
New Member
- May 19, 2023
- 3
- 1
Habari ya wakati huu wapendwa ningependa niwashilikishe hili wazo la biashara ya kufuga kuku wa nyama (broiler)
Kuanza na vifaranga 2000
2000@1900 3,800,000
Mabanda inategemea na sehemu ulipo.
Vyakula pia inategemea ulipo
Chanjo 250,000
Mkaa guniaa 6@300,000
Kijana 200,000
Total summary ni 10,000,000
Return
Kuku walio tayari kuliwa ni week 4
Na sokoni anauzwa 7,500 pamoja na utumbo na firigisi
7500@1990 14,925,000
1990 maybe vingine vimekufa
So faida ni 4,925,000 kwa batch moja
Namna ya kupata mtaji mnaweza kujiunga vijana 5 mkakopa halmashauri lakini wote muwe na lengo moja wakizingua kadhaa mzigo utabebwa na kikundi.
Wenye wazo tofauti na hili karibuni
ASANTENI.