Kufuga kuku kutakavyobadilisha maisha ya vijana

Kufuga kuku kutakavyobadilisha maisha ya vijana

Blackmambaa

New Member
Joined
May 19, 2023
Posts
3
Reaction score
1
Habari ya wakati huu wapendwa ningependa niwashilikishe hili wazo la biashara ya kufuga kuku wa nyama (broiler)

Kuanza na vifaranga 2000
2000@1900 3,800,000
Mabanda inategemea na sehemu ulipo.
Vyakula pia inategemea ulipo
Chanjo 250,000
Mkaa guniaa 6@300,000
Kijana 200,000
Total summary ni 10,000,000

Return
Kuku walio tayari kuliwa ni week 4
Na sokoni anauzwa 7,500 pamoja na utumbo na firigisi
7500@1990 14,925,000
1990 maybe vingine vimekufa
So faida ni 4,925,000 kwa batch moja
Namna ya kupata mtaji mnaweza kujiunga vijana 5 mkakopa halmashauri lakini wote muwe na lengo moja wakizingua kadhaa mzigo utabebwa na kikundi.

Wenye wazo tofauti na hili karibuni
ASANTENI.
 
Habari ya wakati huu wapendwa ningependa niwashilikishe hili wazo la biasharana ya kufuga kuku wa nyama ( broiler)
Kuanza na vifaranga 2000
2000@1900 3,800,000
Mabanda inategemea na sehem ulipo...
Kuku bandani mpaka elf 6, piga hesabu upya mkuu.

Lakini mikakati ya bajaji manispaa kama inaonekana kuwa na mashiko kuliko biashara nyinginezo
 
Habari ya wakati huu wapendwa ningependa niwashilikishe hili wazo la biasharana ya kufuga kuku wa nyama ( broiler)
Kuanza na vifaranga 2000
2000@1900 3,800,000
Mabanda inategemea na sehem ulipo.
Vyakura pia inategemea ulipo
Vhanjoo 250,000
Mkaa guniaa 6@300,000
Kijana 200000
Tolal summary ni 10,000,000

Return
Kuku waliotayali kuliwa ni week 4
Na sokoni anauzwa 7500 pampja na utumbo na filigisi
7500@1990 14,925,000
1990 may be vigine vimekufa
So faida ni 4925000 kwa bach moja
Namna ya kupata mtaji mnaweza kujiunga vijana 5 mkakopa halimashauri lakini wote muwe na lengo moja wakizingua kadhaa mzigo utabebwa na kikundi

Wenye wazo tofauti na hili karibuni
ASANTENI.
Hapa umeandika ushuzi tu na inavyoonyesha hata njiwa tu hujawahi kufuga umekurupuka mno na pia kwa mawazo yako mepesi inaonesha hata umri wako bado ni mdogo sana.
 
Biashara za makaratasi siku zote zina faida, kuwa makini faida ni ya kwenye makaratasi sio katika real life.
 
ufugaji wa online na mihemko ya motivation speaker una faida sana. nikupe kazi anza na 50 tu ujifunze.
 
Sijawahi kufuga Ila,hizo hesabu hazina uharisia,na vigaranga elfu 2 ni wengi,na hapo hawajafa soko nalo halitabiriki Mimi huku Mara ya mwisho nimenunua 7k sio 7.5k
 
😳😳😳😂😂😂😂😭😭😭😭😡😡😡😡 yaani nimeshikwa na mshangao,kicheko,kilio na hasira kwa wakati moja. Hivi huyu amewahi kufuga hata njiwa? Eti vifaranga 2000? Anza hata na makoo 10 na jogoo moja afu baada ya miezi 3 leta mrejesho.
 
Vifaranga 2000 si mchezo. Bajeti ya chakula, mabanda, magonjwa+vifo, usimamizi, masoko!! Vyote hivyo lazima akili ivuruge.
 
Back
Top Bottom