Kufuga ndege na wanyama wa porini kunahitaji kibali?

Kufuga ndege na wanyama wa porini kunahitaji kibali?

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Wakuu, naomba kuuliza,

Kufuga kanga wa porini , sungura na kware, ni lazima kuwepo na kibali?
 
Huhitaji Kibari, Anza Kufuga Lakini Jitahidi Uyajue Baadhi Ya Mambo
Ukitaka Kufuga Mbuzi, Kuku Huhitaji Kibali
Isipokuwa Twiga, Simba, Mamba, Chui, Mbuni Ndiyo Kibari
 
Back
Top Bottom