Najaribu kuelewa mada yako,lkn kiufupi ni kwamba binadamu ili ajitegemee mwenyewe,lkn imekua kinyume binadamu huyo huyo anataka mwenzake amutegemee,kwa hiyo anamuwekea mipaka,kama ni kutembea mwendo wa km20, baaasi,asizidishe hapo.
Lkn la mhimu ni we mwenyewe kuikataa mipaka,kwa kujitambua ( kuwa na uwepo wa kwako), pili kua huru.