KUFUKUA KABULI.

KUFUKUA KABULI.

mbalaka

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2017
Posts
2,240
Reaction score
2,629
Kuna mambo 5 katika maisha yangu yameendelea kubaki kuwa kitenda wili.

Sijui ilikuwa kuwaje hayo mambo yakawa namna hiyo.

(1). Uliimwengu jinsi ulivyo..
Ukitazama videos wanazo post NASA ni lazima ubaki na mshangao vile ulimwengu ulivyojipangilia.

(2). futility... Hiki ni kisa cha kweli kilitokea na hapa jamvini kiliwa kujadiliwa ila kila mmoja alisema lake.
So, kwa ufupi hitmisho halijawai kupatikana hadi leo juu kisa hicho.

(3). Mtu kupigwa risasi 16 lakni akasavaivu na bado anatema cheche.

(4) hili la 4(staki kulitaja hapa, nisije itwa mchochezi au kuombwa cheti cha uraia wakat hicho cheti hata baba yangu hana) so, hili litabaki kuwa la moyon mwangu na kuwasimlia wanangu na wajuu wangu.

(5) hili la 5 linaweza kuwa "debated" coz humu kuna wajuvi wa mambo.

.

Hili ni pambano la ndondi kati mkali Mayweather vs Pac(ni lakitambo kidogo lakini limeendelea kubaki kuwa pambano lenye ukakasi mkubwa kwangu hasa upande wa ushindi) haipiti wiki bila kurudia kulitazama pambano hili lakni hadi leo hii nashindwa kujua...

NI VIGEZO GANI VILITUMIKA KUMPA USHINDI Mayweather?.

Kwanini awe Mayweather na sio paki Pac?.

Mwanzo mwisho Mayweather anaonekana akikimbiakimbia uwanjani tu huku Pac anaonekana akafanya mashambulizi makali dhidi Mayweather.


Lakini upande wa matokea mshambuliaji akawa mshindwaji( sina maana kuwa kushambulia ndiyo kushinda)..

Pac alimpiga ngumi nyingi sana Mayweather.

Mayweather alinonekana n mtu mwenye hofu kubwa dhidi Pac, ndiyo maana alikuwa akimkubatia mara kwa mara na muda mwingine anabaki kuwa mtu wa kukimbia tu.

Hadi leo ninaamini kuwa Mayweather alibebwa(kumbuka usemi wa mcheza kwao) ili kutunza heshima ya recod yake ya kutopoteza pambano.
Na katika hilo ninahisi Pac alipewa pesa(rushwa) ili kukubaliana na matokeo, ndiyo maana alikuwa mwepesi sana kukubali kuwa kashindwa wakti katika uhalisia mambo ni tofauti kabisa.

Wengi tulijua pac kashinda pambano.

Lakin baaada ya matokeoa mambo yakawa kinyume.


BINAFSI SJUI KANUNI NA SHERIA ZA NGUMI, ILA MIMI KUTOKUJUA HALIFANYI WENGINE WASIJUE.

WAJUVI MNISAHIDIE NI KITU GANI KILIMBEMBA MAYWEATHER?.
 
Back
Top Bottom