chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Mwenyekiti wa CDM Mkoa wa Shinyanga ameondolewa kwenye nafasi hiyo kwa sababu ameonyesha kumuunga mkono Mbowe.
Kimsingi alitumia uhuru wake wa mawazo kumuunga mkono Mbowe. Kundi la Lissu, kwa formula ile ile ya JPM ya udikteta. Likaitisha kikao haraka haraka, bila hata kumsikiliza, wakamfukuza katika nafasi yake ya uongozi.
Hii ni ishara ya aina ya uongozi ambao chadema itakutana nao endapo Lissu atafanikiwa kuwa Mwenyekiti wa chama-full fledged dictatorship.
Mbowe yeye mwanademokrasia, anaamini katika uhuru wa mawazo.
Japo Lissu amefanya makosa makubwa sana kipindi hiki, yanayotosha kumfuta uanachama, lakini Mbowe amekuwa na uvumilivu wa kisiasa.
Mwenye macho na masikio na ayatumie. Mwenye akili na atafakari.