Labda aliigeuza alipokwenda kujisaidia..
Duh ! Mh ! kujisaidia gani huko mpaka unavua ? kweli kweli mh ? Haja gani hiyo mpaka uvue ??
Huyo jamaa naye acheze hivyo hivyo ila kwa kuigiza. Asubuhi avae vizuri wazi wazi mbele ya mkewe , halafu kokote atakapoenda siku hiyo, ageuze kufuli lake makusudi. Jioni avue mbele ya mkewe huku akijifanya hajangundua kama amegeuza. Then asikie comments za mkewe, maybe atapata picha fulani !!!
Duh ! Mh ! kujisaidia gani huko mpaka unavua ? kweli kweli mh ? Haja gani hiyo mpaka uvue ??
Huh! Mbona si suala la kuomba ushauri ni dhahili masela wameisha mega tena kisela!
Ushauri; ukimchunguza sana bata utashindwa kula nyama yake!
Mbona hata ktk kumegana hamhitaji kutoa kufuli lote,anaweka kushoto kidogo kitu kinaingia kimyani anarudishia. Angemtilia shaka kwakitu kingine lakini sio hicho mkuu!
umemegewawa wewe, na nadhani kilikuwa kitu cha fasta na alimegwa jirani kabisa na hapo mlipo,
Sure hii imetulia. Unajua si rahisi kuwa na uhakika asilimia 100 kuwa chupi imegeuzwa alikoenda. Nadhani ushauri wako mkulu umetulia kama ni kamchezo kake basi atareact kumuona jamaake nae chupi imegeuzwa
Huyo jamaa naye acheze hivyo hivyo ila kwa kuigiza. Asubuhi avae vizuri wazi wazi mbele ya mkewe , halafu kokote atakapoenda siku hiyo, ageuze kufuli lake makusudi. Jioni avue mbele ya mkewe huku akijifanya hajangundua kama amegeuza. Then asikie comments za mkewe, maybe atapata picha fulani !!!
jamaa kwa nini akupima oil, ili awe na uhakika kabisa KAMA MBWAI MBWAI TU, maana kama kufuri imegeuzwa hata nauhakika hata ndani mambo yalikuwa bado hayajarekebishwa,
KUOA YATAKA MOYO