Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,215
- 3,076
Hiyo ni bahati mbaya. kinamama huwa wanajisafi baada ya kazi kabla ya kurudi nyumbani. huenda ni wakati huo alibadili nje ndani. Pili huenda wewe mwanamme ni mmegaji sana ndiyo maana kila wakati unahofu kuibiwa.
Wanawake wanajisafi kwa kufua vyupi makazini au? Wacha iyo mambo ya uongo weye!
Hapo mdau mwenye mke akapime ngoma mapema kabla ya next episode..hao ndo wanawake wa kibongo bwana inabidi uwe nao makini kama vita vya Afghanistan! Kidogo tu umeumia..