kufuli imegeuzwa

Hiyo ni bahati mbaya. kinamama huwa wanajisafi baada ya kazi kabla ya kurudi nyumbani. huenda ni wakati huo alibadili nje ndani. Pili huenda wewe mwanamme ni mmegaji sana ndiyo maana kila wakati unahofu kuibiwa.

Wanawake wanajisafi kwa kufua vyupi makazini au? Wacha iyo mambo ya uongo weye!

Hapo mdau mwenye mke akapime ngoma mapema kabla ya next episode..hao ndo wanawake wa kibongo bwana inabidi uwe nao makini kama vita vya Afghanistan! Kidogo tu umeumia..
 
hata mimi fasta fasta nilitaka kumwambia "mazee umesaidiwa" lakini nikasita
kwani hiyo ni kauli nzito inabidi kufikiria zaidi.

Mkuu, Gabu kamaliza kila kitu!!!
 
Sasa ushauri wote huu hata kama ni mzuri utakuwa hauna maana iwapo huyo mke ni member wa humu JF, kwani atakuwa ameona mabandiko yote na hivyo atakuwa amejipanga kwa mbinu zote tulizompa jamaa.
 

Hata akifanya hivyo anaweza akaumiza roho yake bure, pengine huyo mkewe hana hata muda wa kuchunguza mumewe kavaa nini siku hiyo, achilia mbali kufuli. Hivi ukienda kazini na nguo fulani ukarudi umevaa tofauti kabisa (shati/suruali nyingine) na bado mkeo asishangae wala kuuliza, unategemea nini kuhusu 'kufuli'?

Huyo jamaa naye mchunguzi mno, pengine anamfuatilia sana huyo mama ndiyo maana ameamua kumfanyia mchezo huo wa kugeuza 'kufuli'.
 

Huyo jamaa should think outside the box either.... Labda pia mke wake ana tabia ya kwenda kwa waganga wa kienyeji! Huenda ni moja kati ya masharti aliyopewa na mganga wake!!
 
inawezekana jamaa aliangalia vibaya asubuhi! labda alivaa hivyo hivyo

Na jamaa akijaribu kugeuza chupi kama mkewe akimegwa kweli, basi ujue maelezo yake hayatakuwa marahisi kiivo. itakuwa ngumu kueleweka.
 

kama muda wa kujiswafi ungekuwepo asingegeuza hiyo kufuli ndani nje, ukweli jmaa angepima tu, hata kama alikuwa ametumia condom, ingejulikana tu kuwa kamegwa
 
kama muda wa kujiswafi ungekuwepo asingegeuza hiyo kufuli ndani nje, ukweli jmaa angepima tu, hata kama alikuwa ametumia condom, ingejulikana tu kuwa kamegwa



ahhh wapi......
 
...mnh, Nyamayao acha kututoa raha wenzio, wengine tumefunga!


pole Mbu....lakini hiyo ya kusema unamgundua mkeo kihivyo ckubaliani nayo kabisa, labda mwanamke asiejua maana ya usafi......
 
Yote yanawezekana. Inawezekana kamegewa na pia huenda imetokea tu bahati mbaya wkt wa kuvaa. Wkt mwingine c rahisi kihivyo kuona mtu wkt anavaa hadi uwe kwenye nafasi ya ku-judge baadae kwamba alipotoka alikuwa ameivaa vizuri ila wkt wa kurudi ikawa imebadilishwa. At times we should be positive jamani.
 
Labda aliigeuza alipokwenda kujisaidia. Mwambie asihangaike kuchunguza sana,yeye atulie na afanye kazi zake. kama mkewe ni mwizi basi atamkamata kirahisi lakini si kihivyo.


Malila,

wanavuaga chupi yote na kuiweka pembeni wakati wakijisaidia! sidhani huyu amemegwa tu.
 
umemegewawa wewe, na nadhani kilikuwa kitu cha fasta na alimegwa jirani kabisa na hapo mlipo,
...Kama ni faster hakuna haja ya kuvua kufuli..unapenyeza tu kitu ndani ya nyavu!!
 
inawezekana likawa chezo tu!. ujue labda anachukizwa na kuchunguliwa kila akivaa kufuli, so akaamua kumfanyia chezo ili aumie!!, teh teeh kwii kwiiii
 

Akiwa na shaka kiasi hicho ndoa itamshinda kama kuna kitu atagundua tu asiwe na presha.
 
kwani kuna dalili gani zaidi ya hiyo ameinotice,inawezekana ndiyo u ikawa sivyo usimjudje sana mkeo we tulia fanya mambo ya kimaisha. mengine muache yatakuumiza kuliko kukujenga.
 
Mwambie leo mke wake akirudi akienda kuoga apekue kwenye kipima joto kama kuna chupi za ziada kama hakuna basi bila shaka huyo alimegwa kama ataziona basi atakuwa aligeuza wkt akibadilisha ******.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…