Kufulia kwa julius nyaisanga

Jospina

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2013
Posts
2,421
Reaction score
1,395
JULIUS NYAISANGA kwa wanaomjua ni mmojakati ya watangazaji magwiji sana hapa nchini, alifanikiwa kutangaza redio na Tv stations mbalimbali hapa nchini Tanzania. nimekutana nae hivi karibuni akionekana ni mtu mwenye msongo wa mawazo.....kupeleleza nikaambia yupo kituo kimoja cha habari kinachoitwa ABOOD! hivi kwa hadhi na uwezo wa Nyaisanga ni wa kutangaza station kama hizi ndogo ndogo?? nini kilichoplekea huyu jamaa kufulia hivi? kwa mtazamo wangu alipaswa kuwepo bbc au dochi vere( sina hakika na spelling) kama wenzie wa rika yake?
 
Hivi alikuwaga anatangazaga kituo gani
ni kama nimemsahau mwenye picha yake akituwekea so mbaya
 
Hivi alikuwaga anatangazaga kituo gani
ni kama nimemsahau mwenye picha yake akituwekea so mbaya

Huyu ni mtangazaji wa zamani sana toka enzi zile za redio Tanzania.
Walikua pamoja na Charles Hilary. Wote walikua redio Tanzania, na wakahamia ITV/Redio One.
 
Mind your business .kwani amekukopa Pesa hivi kwa nini mnapenda kufuatilia maisha ya Watu .Kuwa na mawazo ni kufulia.kwani Lazima uwe na kazi ufanikiwe.Watanzania mnapenda kufurahia mtu akiwa na matatizo
.Get a coke and cake celebrate his downfall pole sana wewewe
 
Mhhh haya kuhusu awe karoweka kafulia narudia haya kuhusu fata yako..!!
 
unaposema kafulia kwani alikuwa tajiri?

Halafu kwa waajiriwa huwa wanaangalia madlahi na mazingira ya kazi na si umaarufu wa kituo
 
Julius Nyaisanga 'mzee wa Kimanzichana', aliwahi kufikia rank ya meneja wa Radio One Stereo. Walishindwana na Mhaville Joyce ambaye ni boss wa ITV/Radio One.
 
Julius Nyaisanga 'mzee wa Kimanzichana', aliwahi kufikia rank ya meneja wa Radio One Stereo. Walishindwana na Mhaville Joyce ambaye ni boss wa ITV/Radio One.

Masikini babu wa Kimanzichana.... Nazikumbuka hadithi zake...
 
Ni kawaida kwa maisha ya mwanadamu. It can happen to anyone. Kama mambo yako yako safi, mshukuru Mungu.
 
Yah, sure, hupaswi kumdhihaki mtu eti kafulia, coz hakuna aliyeiona kesho
Ni kawaida kwa maisha ya
mwanadamu. It can happen to anyone. Kama mambo yako yako safi, mshukuru
Mungu.
 
Deutsche welle maneno ya kijerumani yanayoanzia na w pronounciation yake ni v hivyo hiyo welle inasomwa vele
 
Huyu bwana miaka ya 80 alipita huko singida na mbio za mwenge.baada ya Mwinyi kuhutubia alituburudisha vizuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…