Jospina
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 2,421
- 1,395
JULIUS NYAISANGA kwa wanaomjua ni mmojakati ya watangazaji magwiji sana hapa nchini, alifanikiwa kutangaza redio na Tv stations mbalimbali hapa nchini Tanzania. nimekutana nae hivi karibuni akionekana ni mtu mwenye msongo wa mawazo.....kupeleleza nikaambia yupo kituo kimoja cha habari kinachoitwa ABOOD! hivi kwa hadhi na uwezo wa Nyaisanga ni wa kutangaza station kama hizi ndogo ndogo?? nini kilichoplekea huyu jamaa kufulia hivi? kwa mtazamo wangu alipaswa kuwepo bbc au dochi vere( sina hakika na spelling) kama wenzie wa rika yake?