Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Inaonekana hujui matumizi ya celebrities forum... Ni kujadili maisha ya watu maarufu au waliowahi kuwa maarufu, kwa mema na mabaya wayafanyayo au yawatokeao.... Kama unamind sana basi mlete paka wako tumjadili..Mind your business .kwani amekukopa Pesa hivi kwa nini mnapenda kufuatilia maisha ya Watu .Kuwa na mawazo ni kufulia.kwani Lazima uwe na kazi ufanikiwe.Watanzania mnapenda kufurahia mtu akiwa na matatizo
.Get a coke and cake celebrate his downfall pole sana wewewe
bora umwambie mkuu, hili jukwaa la celebrities ni mahsusi kabisa kwa kujadili watu maarufu mbalimbali tanzaniaInaonekana hujui matumizi ya celebrities forum... Ni kujadili maisha ya watu maarufu au waliowahi kuwa maarufu, kwa mema na mabaya wayafanyayo au yawatokeao.... Kama unamind sana basi mlete paka wako tumjadili..
julius nyaisanga kwa wanaomjua ni mmojakati ya watangazaji magwiji sana hapa nchini, alifanikiwa kutangaza redio na tv stations mbalimbali hapa nchini tanzania. Nimekutana nae hivi karibuni akionekana ni mtu mwenye msongo wa mawazo.....kupeleleza nikaambia yupo kituo kimoja cha habari kinachoitwa abood! Hivi kwa hadhi na uwezo wa nyaisanga ni wa kutangaza station kama hizi ndogo ndogo?? Nini kilichoplekea huyu jamaa kufulia hivi? Kwa mtazamo wangu alipaswa kuwepo bbc au dochi vere( sina hakika na spelling) kama wenzie wa rika yake?
Masikini babu wa Kimanzichana.... Nazikumbuka hadithi zake...
...That is living and other stories...