Kufulia kwa julius nyaisanga

Kufulia kwa julius nyaisanga

Mind your business .kwani amekukopa Pesa hivi kwa nini mnapenda kufuatilia maisha ya Watu .Kuwa na mawazo ni kufulia.kwani Lazima uwe na kazi ufanikiwe.Watanzania mnapenda kufurahia mtu akiwa na matatizo
.Get a coke and cake celebrate his downfall pole sana wewewe
Inaonekana hujui matumizi ya celebrities forum... Ni kujadili maisha ya watu maarufu au waliowahi kuwa maarufu, kwa mema na mabaya wayafanyayo au yawatokeao.... Kama unamind sana basi mlete paka wako tumjadili..
 
Inaonekana hujui matumizi ya celebrities forum... Ni kujadili maisha ya watu maarufu au waliowahi kuwa maarufu, kwa mema na mabaya wayafanyayo au yawatokeao.... Kama unamind sana basi mlete paka wako tumjadili..
bora umwambie mkuu, hili jukwaa la celebrities ni mahsusi kabisa kwa kujadili watu maarufu mbalimbali tanzania
 
Angekua TBC 1 angeukwaa ukuu wa Wilaya kama akina Kipozi!
 
julius nyaisanga kwa wanaomjua ni mmojakati ya watangazaji magwiji sana hapa nchini, alifanikiwa kutangaza redio na tv stations mbalimbali hapa nchini tanzania. Nimekutana nae hivi karibuni akionekana ni mtu mwenye msongo wa mawazo.....kupeleleza nikaambia yupo kituo kimoja cha habari kinachoitwa abood! Hivi kwa hadhi na uwezo wa nyaisanga ni wa kutangaza station kama hizi ndogo ndogo?? Nini kilichoplekea huyu jamaa kufulia hivi? Kwa mtazamo wangu alipaswa kuwepo bbc au dochi vere( sina hakika na spelling) kama wenzie wa rika yake?



Kama umejitosa kufuatilia maisha ya mtu uje na details kamili siyo na mawazo yako aiseee.....
 
Waswahil bana ndo maana hatuendelei,ukiwa nazo tatizo Mara ooooh muuza poda/sembe haiwezekan akawa vile,ukiwa hauna napo Kosa kafulia,Jaman maisha ni kupanda na kushuka na Elim haimtup mtu kaacha kaz kapata kaz mambo yAKe yatakua Sawa tu ni binadam.embu tuwe tunaongelea maendeleo yetu binafsi cyo Watu na familia zao.Mengine mwachie Baba na Mama.....!!!!!!!
 
Kuwa mkurugenzi mkuu wa abood radio na tv ni kufulia!????
 
Back
Top Bottom