Kufumania, wivu wa mapenzi na drama kama hizo ni ushamba wa karne ya 21

Kufumania, wivu wa mapenzi na drama kama hizo ni ushamba wa karne ya 21

Miguel Felix Gallardo

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2024
Posts
2,841
Reaction score
5,218
Nimejaribu kufatilia kwa muda sasa na pengine ni sahihi kabisa na baadhi ya jamii za kale zilielewa haya mambo in deep tofauti kabisa na wanaojiita wasomi wenye madegree na maPhD ya kileo.

Jamii kama Wamaasai hawa viumbe wako soo real katika swala la kuzagamuana na kula mbususu.Imagine mwanaume umetoka zako umeenda mishemishe unaridi homu unakuta mkuki mlangoni.Hapo huna jinsi unatembea mbele utarudi jioni.

Kiuhalisia hakuma mwanadamu anaridhika na mtu mmoja na kuchokana kupo yaani mkatae mkubali ila ukweli ni kuwa huwezi kula pilau kuku kila siku kuna siku utamisi ugali dagaa na samvu la karanga.

Wasomi wa leo wanajinyonga kisa mapenzi ni aibu kushindwa kufikiria vizuri na kuzidiwa na watu wa kale ambao tunaamini tumewapita uelewa na akili.

Ewe kijana usije kupoteza muda unafanya mipango ya fumanizi wewe kula huyo mamamtu kisha pita hivi tumle tumzungushe tumle tumzungushe acheni kucomplicate maisha.

📌Ukitaka ataliwa usipotaka ataliwa.

Cha msingi weka nguvu kutafuta hela ili uwale wa kutosha na wa kila aina.

Uzi tayari!
 
we husikii huko kwenye vyombo vya habari hawa wasomi wa kileo wanavyoteswa na mapenzi.
Wale elimu yao ni ya kidato cha sita mpka awe na degree ni amalize chuo na kutunukiwa medali. So ata akiw karbu na mwak wa mwisho lkan akafa basi hawez kuitwa degree holder
 
Zamani nilikuwa na wivu wa kimapenzi hatari, ningeweza kufunga kijiji kwa anayedowea penzi la demu wangu ila kwa sasa naona ni ushenzi na upuuzi kugombania penzi. Mara umempiga mtu, mara umempiga mke tena kipigo cha kuua, ya nini kuua mtu kisa wivu wa mapenzi? Demu akinyanduliwa na msela mwingine wacha anyanduliwe tani yake, mi huyooo naenda kujipoza kwa mwingine. Mke wa mtu naye akinishobokea naangalia mazingira muafaka nimtimizie hitaji lake la kimapenzi, huo utamu ni kuachiana tu kama shimo la choo kila mtu hujisaidia humo
 
Mimi ndo kabisa Huwa siwazagi ety wivu flani kapita nae na Mimi natafuta wa mnyonge napita nae
 
Back
Top Bottom