Zamani nilikuwa na wivu wa kimapenzi hatari, ningeweza kufunga kijiji kwa anayedowea penzi la demu wangu ila kwa sasa naona ni ushenzi na upuuzi kugombania penzi. Mara umempiga mtu, mara umempiga mke tena kipigo cha kuua, ya nini kuua mtu kisa wivu wa mapenzi? Demu akinyanduliwa na msela mwingine wacha anyanduliwe tani yake, mi huyooo naenda kujipoza kwa mwingine. Mke wa mtu naye akinishobokea naangalia mazingira muafaka nimtimizie hitaji lake la kimapenzi, huo utamu ni kuachiana tu kama shimo la choo kila mtu hujisaidia humo