Kufumaniwa kusikie Redioni!

Kufumaniwa kusikie Redioni!

Mkeo sio mstaarabu kabisa, kwanzan kwanini akufumanie? Ok hilo la kukufumania unaweza ukamsamehe, ila kwa nini akujazie watu? Astakafulilah, tena akawa anachonga balaa!!! Bado upo naye? Huyo mimi ningepiga chini hapo hapo dadeki. Mwanamke lazima awe submissive kwa mwanaume.
 
Nakumbuka Disemba 2017 wife alinifumania lodge fulani (Sinza Palestina) aisee. Nilipaniki na kuona noma kwa wakati mmoja. Alijaza shazi (watu) balaa.

NB: Wife anaongea balaa mimi kimyaaa.... Nitaongea nini Sasa?

Uyo siyo wife wako tena
 
Kufumaniwa noma.

Mfumaniwa: Kimbiza unavyoweza nauli nitakulipa tukifika.

Bodaboda: Nauli umeweka wapi?
E-ivwxkXsAQf40_.jpeg
 
Nakumbuka Disemba 2017 wife alinifumania lodge fulani (Sinza Palestina) aisee. Nilipaniki na kuona noma kwa wakati mmoja. Alijaza shazi (watu) balaa.

NB: Wife anaongea balaa mimi kimyaaa.... Nitaongea nini Sasa?
yeye alikuwa anaenda wapi maeneo ya gest? ungembana na yeye yangeisha
 
Nakumbuka Disemba 2017 wife alinifumania lodge fulani (Sinza Palestina) aisee. Nilipaniki na kuona noma kwa wakati mmoja. Alijaza shazi (watu) balaa.

NB: Wife anaongea balaa mimi kimyaaa.... Nitaongea nini Sasa?
Mke wako freemason
 
Nikajuwa nakuja kusoma stori ya majeruhi aliyeponea chupu chupu kuliwa 0713 baada ya kufumaniwa na mke wa mtu

Kwahiyo mkuu ulichambwa halafu nawewe ukanywea?
Unafikili huwa wanatoaga ushuhuda basi hao waliwa tigo
 
Back
Top Bottom