steveachi
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 10,643
- 12,247
Hapo boda nae anakwenda kujilia kiulainiiiiKufumaniwa noma.
Mfumaniwa: Kimbiza unavyoweza nauli nitakulipa tukifika.
Bodaboda: Nauli umeweka wapi?
View attachment 1926321
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo boda nae anakwenda kujilia kiulainiiiiKufumaniwa noma.
Mfumaniwa: Kimbiza unavyoweza nauli nitakulipa tukifika.
Bodaboda: Nauli umeweka wapi?
View attachment 1926321
Mimi nimekuelewaUyo siyo wife wako tena
KimeumanaKufumaniwa noma.
Mfumaniwa: Kimbiza unavyoweza nauli nitakulipa tukifika.
Bodaboda: Nauli umeweka wapi?
View attachment 1926321
Uzi teyari tozo hiziNakumbuka Disemba 2017 wife alinifumania lodge fulani (Sinza Palestina) aisee. Nilipaniki na kuona noma kwa wakati mmoja. Alijaza shazi (watu) balaa.
NB: Wife anaongea balaa mimi kimyaaa.... Nitaongea nini Sasa?