Gaspare Mbile
JF-Expert Member
- Aug 30, 2016
- 1,568
- 1,603
Hahaha! Kaka wengine wanadanganya na kuvua pete,sasa yanaweza kukuta siku moja inabidi ujue kwanza.naona unatafuta kibali cha kuchepuka mke wa mtu.
okay, mke wa mtu mumewe ndo hakimu, hivyo akikukuta naye atakuhukumu kulingana na katiba yake yeye(Ubongo) inavyosema
Unaweza ukawa unachumbia mke wa mtu bro wengine waongo kweli.Uzinifu ni dhambi.
Shukurani mkuu,kumbe siwezi kufungwa jela.Ni aibu kubwa mume kumpeleka mahakamani mkewe ametoka nje ya ndoa ni vigumu hata kusimama mbele ya mahakama mwisho wa siku mwanamke atakudhalilisha mbele ya mahakama kwamba hunauwezo chumbani haumpi unyumba. Kesi hizi mara nyingi zinasuluhishwa na balozi wa nyumba kumi, viongozi wa dini, wazee wa familia na hata mwenyekiti wa mtaa/kijiji.
*Tahadhari sana kufumaniwa na mke wa mtu
--unaweza kubakwa
--unaweza kuuwawa
--unaweza kupigwa
Kumbe unaweza kumlipa fidia na mke ukachukua hapo hapo mume akizira,very interesting.Kichwa cha habari ni tata. Kufumaniwa na mke wa mtu inaweza maanisha mke wa mtu amekufumania ukifanya mapenzi au inaweza maanisha umekutwa ukifanya mapenzi na mke wa mtu.
Swali linabaki walikukuta wanajua kuwa ninyi sio wanandoa?
Sheria ya ndoa ya 1971 inampa haki mume kuivunja hiyo ndoa na kukudai fidia wewe na huyo mwanamke.
Ok, basi mumewe akikufumania naye umueleze hivyoHahaha! Kaka wengine wanadanganya na kuvua pete,sasa yanaweza kukuta siku moja inabidi ujue kwanza.
Du! Hatarii lakini si baadae nawashitaki kwa kunibaka.kufumaniwa ni balaa kama ni wa kiume unaweza kuombwa ndogo
mkuu una hiyo courage ya kusimama mbele ya hakimu useme ulipumuliwa kisogoniDu! Hatarii lakini si baadae nawashitaki kwa kunibaka.
Sorry nilipitiwa ila ni kosa la jinai kutemvea na mke au mume wa mtu kulingana na sheria zetu za tanzania ntazungumzia sheria mbili tyu ila ziko nyingi sana naanza na PENAL CODE OF TANZANIA (sheria ya adhabu ya makosa ya jinai ) kipengele cha Offensive morality ibara ya 130 ibara ndogo ya pili (2) kipengele(d) kinasema mtu akifanya hvo atahusishwa moja kwa moja na makosa ya ubakaji hata kama atakuwa amekubaliana kufanya mapenzi na weweKamfumia mke wake?,ina uhusiano gani na hii mada inayojadiliwa hapa?
Hyo apo someni sasaSorry nilipitiwa ila ni kosa la jinai kutemvea na mke au mume wa mtu kulingana na sheria zetu za tanzania ntazungumzia sheria mbili tyu ila ziko nyingi sana naanza na PENAL CODE OF TANZANIA (sheria ya adhabu ya makosa ya jinai ) kipengele cha Offensive morality ibara ya 130 ibara ndogo ya pili (2) kipengele(d) kinasema mtu akifanya hvo atahusishwa moja kwa moja na makosa ya ubakaji hata kama atakuwa amekubaliana kufanya mapenzi na wewe
View attachment 426075
Pia katika sheria ya ndoa YA mwaka 1977 au LAW OF MARRIAGE ACT
(LMA-1977) ibara ya 130 ibara ndogo ya kwanza (1) na ya pili (2) inasema mwanaume au mwanamke akihusishwa na swala la kufanya mapenzi nje ya ndoa aldutery atakuwa kafanya kosa la jinai lakini ataondolewa kosa hilo endapo tu ATATOA USHAIDI WA KUTHIBITISHA KUWA HAKUJUA UHUSIANO WA ALIYEFANYA NAE KAMA KAOA AU KAOLEWA
View attachment 426076
Mkuu,Sorry nilipitiwa ila ni kosa la jinai kutemvea na mke au mume wa mtu kulingana na sheria zetu za tanzania ntazungumzia sheria mbili tyu ila ziko nyingi sana naanza na PENAL CODE OF TANZANIA (sheria ya adhabu ya makosa ya jinai ) kipengele cha Offensive morality ibara ya 130 ibara ndogo ya pili (2) kipengele(d) kinasema mtu akifanya hvo atahusishwa moja kwa moja na makosa ya ubakaji hata kama atakuwa amekubaliana kufanya mapenzi na wewe
View attachment 426075
Pia katika sheria ya ndoa YA mwaka 1977 au LAW OF MARRIAGE ACT
(LMA-1977) ibara ya 130 ibara ndogo ya kwanza (1) na ya pili (2) inasema mwanaume au mwanamke akihusishwa na swala la kufanya mapenzi nje ya ndoa aldutery atakuwa kafanya kosa la jinai lakini ataondolewa kosa hilo endapo tu ATATOA USHAIDI WA KUTHIBITISHA KUWA HAKUJUA UHUSIANO WA ALIYEFANYA NAE KAMA KAOA AU KAOLEWA
View attachment 426076
UpotoshajiHyo apo someni sasa