Sorry nilipitiwa ila ni kosa la jinai kutemvea na mke au mume wa mtu kulingana na sheria zetu za tanzania ntazungumzia sheria mbili tyu ila ziko nyingi sana naanza na PENAL CODE OF TANZANIA (sheria ya adhabu ya makosa ya jinai ) kipengele cha Offensive morality ibara ya 130 ibara ndogo ya pili (2) kipengele(d) kinasema mtu akifanya hvo atahusishwa moja kwa moja na makosa ya ubakaji hata kama atakuwa amekubaliana kufanya mapenzi na wewe
View attachment 426075
Pia katika sheria ya ndoa YA mwaka 1977 au LAW OF MARRIAGE ACT
(LMA-1977) ibara ya 130 ibara ndogo ya kwanza (1) na ya pili (2) inasema mwanaume au mwanamke akihusishwa na swala la kufanya mapenzi nje ya ndoa aldutery atakuwa kafanya kosa la jinai lakini ataondolewa kosa hilo endapo tu ATATOA USHAIDI WA KUTHIBITISHA KUWA HAKUJUA UHUSIANO WA ALIYEFANYA NAE KAMA KAOA AU KAOLEWA
View attachment 426076