Kufumaniwa na mke wa mtu ni kosa kisheria?

Basi ni ntakuwa nawatomba usiku waume zao wakisafiri..[emoji84] [emoji84] [emoji84] [emoji84]
 
Kisheria, huku Tanzania Bara, kulala na mke wa mtu sio KOSA LA JINAI lakini huko Zanzibar ni KOSA LA JINAI.
 
Ndugu kifungu namba 130(1)d PENAL CODE hakina tafsiri hiyo. Kifungu hicho kinazungumzia scenario ya mtu kuingia chumban akijifanya ndio mume then yule mwanamke akifikiri yeye ndiye mume akapanua miguu kwa hiyar kumbe sio mume wake. Hapo anakuwa AMEBAKA.
 
Kisheria sio kosa ila kiimani na kimaadili ni kosa!
 
Samahani, sio mtaalamu sana. Ila s.130 inaongelea rape Na sio adultery . Kwa Tanzania bara penal code haianzishi kosa la ugoni . Hivyo ugoni kama ugoni is not a criminal offence in tz mainland. (I stand to be educated)
 
Ni kosa kubwa sana hyo ni jinai kama tu utakutwa ugon na mashahid atakuwa nao soma.

Kifungu cha 72 cha sheria ya ndoa kinazungumzia kumchukulia hatua za kisheria mtu ambaye amethibitika kufany vitendo vya uzinz na mume au mke wako..

Asante naomba kuwasilisha
 
Section 130 (2)(d) hukuisoma vizur. Najua inahusu kujifanya mme wa mfanywaji. Km kumuingilia usiku akiamin we ndo mmewe akakupa kwa hiari. Hamna jinai.
 
Kumbe unaweza kumlipa fidia na mke ukachukua hapo hapo mume akizira,very interesting.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] wesematu very interesting. Usichukulie poapoatu mkuu, otherwise fumaniwa kwanza ndio utajua kama very interesting ama vp.
 
Acha uongo Mkuu,
Sheria iwe ya mwaka 1971 kisha itaje laki 7??
Hujui kua laki 7 ya mwaka 1971 pengine ni bajeti ya Wizara moja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…