Kufundisha vyuo vikuu binafsi

Kufundisha vyuo vikuu binafsi

GIANT90

Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
46
Reaction score
24
Hello family?

Naomba kupata uzoefu wa mtu aliyewahi au anayefundisha vyuo vikuu binafsi nchini. Hali ya malipo ikoje? amenities kama zinakuwa provided timely, job security, na treatment ikoje?

Nikipata mwenye uzoefu na vyuo kama SAUT, TUMAINI na St. John itakuwa bora zaidi.

Ahsante.
 
Kuna utodauti Gani na Mimi mwalimu ninayefundisha huku mpigamiti!? Naona mshahara ni ule ule tu
Acha uongo, mwalimu wa degree anaanza na mshahara wa 750 basic

Ni shule chache mno za private ambazo mwalimu anaanza na mshahara wa 1.5 M

Hivyo gap ni kubwa tu
 
Back
Top Bottom