Kuna utodauti Gani na Mimi mwalimu ninayefundisha huku mpigamiti!? Naona mshahara ni ule ule tuTutorial assistant unaanza na 1.5M basic salary
Acha uongo, mwalimu wa degree anaanza na mshahara wa 750 basicKuna utodauti Gani na Mimi mwalimu ninayefundisha huku mpigamiti!? Naona mshahara ni ule ule tu
Bila shaka around 1.6M -1.8M+Public tutorial assistant anakunja ngap?