Invisible
JF Admin
- Feb 26, 2006
- 16,286
- 8,380
- Thread starter
- #21
Enheee...Shukrani, kitu na bwaksi mazee.
Ila mimi niswali la kizushi kdg; kwa kuwa komputa nyingi hizi za maofisini tunatumia watu wengi hasa ambazo zipo ktk domain au workgroup. Ikatokea mtu akalifuta .bat file lako labda akidhania ni VIRUS ama file ambalo halina maana, je si niatakuwa nishapoteza kila kitu kilichomo humo???
Advise please.
Ndo hapo nilitaka kurejea,
Do you know how to make that Locker folder hidden now?
If YES that's good, now right click that .bat file and make it "Hidden" file.
Halafu, it's much better ukaliweka location ambayo si rahisi mtu kufuta.
Najua unatumia ujanja wako kwenye pc na unajua mengi. Try that.
And, make sure, kwenye folder unaweka hidden files ziwe hidden.
Kama ni tatizo kufanya file la .bat kuwa hidden basi nitoe shule yake hapa upya (japo nakumbuka tuliwahi kujadiliana juu ya hili miaka 3 iliyopita).