Kufunga macho kwa mabinti ni aibu ama maumivu ?

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Nimewiwa kuuliza hili hiivi wakati wanandoa mkiwa mnakula lile tunda
wengi wamekuwa wakisema nanii wenzao wanafunga macho
na wengine huanzia hata wakati wa romance na mpaka unapoanza
kumantain above see level bado wanakuwa wanafunga macho

najiuliza hii ni kwa kuona aibu ama wanapofunga macho wanakuwa
wanasikilizia maumivu?? Na kama maumivu iweje waje kuiita rahaa baada
ya sekunde kadhaa tena sio raha tu yaani tamuuuuuuuuuu tamuuuuuu!!!!
 

Hahahahahaha......... Pdidy bhana!! huwa wanackilizia utamu. ila embu 2subiri wafungaji hayo macho watwambie huwa wanackilizia nn.
 
ukiona hvo wengi wao ukiacha wale wezi,wengi wao huwa wanaloose their minds,lyk they in the other world...............huuuuh
 
mmmh! Unamaneno ya kitumishi/kilokole!! Eti nimewiwa!!!
 


Pdidy we huwa hufungi machooooo????
I tend to close my eyes as well - so that I can totally absorb myself in the moment. I don't do it on purpose - or to avoid eye contact - it just happens. I do peek once in awhile though
 
ukiona hvo wengi wao ukiacha wale wezi,wengi wao huwa wanaloose their minds,lyk they in the other world...............huuuuh

mkiataba feki umenifurahisha
umenikumbusha mbali niliambiwa na dk mmoja ukitaka kuchelewa kumwaga usiniulize nini
kumbuka mbayawako basi nikiwa shugulini namkumbuka prof mmoja wa somo la maji anaitwa
mayo basi nikifikiria somo lake yaani pale nashinda hata wiki aitoki ndugu yangu hii niuwazi na ukweli
ama kama uamini jaribu
 
pdidy we huwa hufungi machooooo????
I tend to close my eyes as well - so that i can totally absorb myself in the moment. I don't do it on purpose - or to avoid eye contact - it just happens. I do peek once in awhile though

yaani umemaliza kila kitu ma dear ni kweli wengine inakuja automatic ila msijekuwa mnakumbuka machungu ili tupate muda wa kukesha kuzitafuta zilipo
 
Pdidy we huwa hufungi machooooo????
I tend to close my eyes as well - so that I can totally absorb myself in the moment. I don't do it on purpose - or to avoid eye contact - it just happens. I do peek once in awhile though

mwaya tukifunga wote macho si shetan atakuja tusimwone jamani!!huwa lazima mmmoja awe macho kumkimbiza shetan
 

Haha,hivi umewahi kujiuliza itakuaje
una kiss na mwenzako afu kakukodolea jicho?
au wote mna kodoleana macho?
 
haha,hivi umewahi kujiuliza itakuaje
una kiss na mwenzako afu kakukodolea jicho?
Au wote mna kodoleana macho?

samahani kwa ndugu zangu wachaga
clemmy kama ushawahi kwenda harusi za wachaga unajua kwa nini wanashikana mikono...
Hili nakusaidia usishangae ukimpata mchaga akikupa penzi ndio kwanza anakutolea jicho
kama umeshika surua li upande wa kulia
 
siku ya ww pdiddy kupewa uppostle mimi ntapewa ushemasi ama uzee wa kanisa

teeehh teeehhh hivyo appostle;ushemasi gaianeni
mi nataka uweka hazina bana ,,nataka kula mema ya nchi hapa hapa duniani!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…