Kufunga macho kwa mabinti ni aibu ama maumivu ?

Kufunga macho kwa mabinti ni aibu ama maumivu ?

utakiss vipi sasa huku umemtolea mwenzako macho? na wanawake tunapokuwa kwenye mapenzi tunavuta hisia taratiibu, huwezi kodoa macho kam uko cinema
 
samahani kwa ndugu zangu wachaga
clemmy kama ushawahi kwenda harusi za wachaga unajua kwa nini wanashikana mikono...
Hili nakusaidia usishangae ukimpata mchaga akikupa penzi ndio kwanza anakutolea jicho
kama umeshika surua li upande wa kulia

ebwna mkuu...umenena asilimia mia
wachaga wagumu kwelikweli kufunga macho...i speak from experience....
 
samahani kwa ndugu zangu wachaga clemmy kama ushawahi kwenda harusi za wachaga unajua kwa nini wanashikana mikono... Hili nakusaidia usishangae ukimpata mchaga akikupa penzi ndio kwanza anakutolea jicho kama umeshika surua li upande wa kulia
teh teh teh, mbafu sangu jamani
 
mwaya tukifunga wote macho si shetan atakuja tusimwone jamani!!huwa lazima mmmoja awe macho kumkimbiza shetan
Ha haaaaaaaa aaaaaa umenichekesha sana kwanza uliwazaje hadi ikafika huku duuu..wacha kabisa
 
utakiss vipi sasa huku umemtolea mwenzako macho? na wanawake tunapokuwa kwenye mapenzi tunavuta hisia taratiibu, huwezi kodoa macho kam uko cinema

Baeleze bana bajue sio wizi ni mapenzi
 
mkiataba feki umenifurahisha
umenikumbusha mbali niliambiwa na dk mmoja ukitaka kuchelewa kumwaga usiniulize nini
kumbuka mbayawako basi nikiwa shugulini namkumbuka prof mmoja wa somo la maji anaitwa
mayo basi nikifikiria somo lake yaani pale nashinda hata wiki aitoki ndugu yangu hii niuwazi na ukweli
ama kama uamini jaribu
AU Bogi na somo lake la Mafuriko enzi hizo..1992 wakati huo upo second year hapo FoE lolollll
 
Pdiddy, wewe ni cozman? Maana hujaoa, unayajuaje hayo?
 
Ili upate mzuka(utamu) lazima uhame Dunia hii ya kawaida na uingie dunia ya ladha ya penz ni vizuri kufumba macho.We unafikili jitu likikutumbulia macho c utaona linakudharau litaona kama una kisosegi ...lol
 
nadhani kumtumbulia mwenzako mimacho duh itakuwa unamtisha na kukatisha tamaa maana wengine watakata stimu
 
Haya bana zote assumpition na zinajenga
 
Ili upate mzuka(utamu) lazima uhame Dunia hii ya kawaida na uingie dunia ya ladha ya penz ni vizuri kufumba macho.We unafikili jitu likikutumbulia macho c utaona linakudharau litaona kama una kisosegi ...lol

maelezo sahihi nimeyapata kwako.
 
Msitake kuwaonea wanawake bana ni wote huwa tunafumba macho maana hata ukimpiga busu demu wako la ukweli kabisa lazima ufumbe macho yako, ukido ndiyo kabisa hususani kama umeitafuta FM ukaona haishiki ngoja uchomeke antenna ili kupata frequency vizuri.
 
mkiataba feki umenifurahisha
umenikumbusha mbali niliambiwa na dk mmoja ukitaka kuchelewa kumwaga usiniulize nini
kumbuka mbayawako basi nikiwa shugulini namkumbuka prof mmoja wa somo la maji anaitwa
mayo basi nikifikiria somo lake yaani pale nashinda hata wiki aitoki ndugu yangu hii niuwazi na ukweli
ama kama uamini jaribu

hhahahahahaahahah...., sina mbavu mie.
 
Wanasema eti wanavyo kodoa macho, kuna asilimia flan ya mautam hutoka kupitia machoni. Kwahyo kufumba macho ni kuruhusu asilimia kubwa ya utam unaoingia mwilin utumike kunyegesha. Ila pia kuna ule utam mduchu ambao hupitia masikion, huo no way, lazma upotee coz no mechanism ya kuziba maskio kama macho. Hebt uliza wanajiskiaje wanapozibwa maskio, utam wote unasambaa mwilin....
Source: Fikra binafsi. Ha ha ha ha ha ha ha....
 
Unaweza kuta ww dume unapo do sura inakuwa ngumu kama kuli kwa hiyo anafunga macho! Ila kuna wengine wako live mpaka unamaliza!
 
Back
Top Bottom