Kufunga ni kama mchezo wa kuigiza

Kwaresma tunafungua jioni hii tutakula Tena kesho jioni kama hii. Hakunaga daku
 
Ndio maana chakula kinapanda
 


Qur’an 109

1. Sema: Enyi makafiri!
2. Siabudu mnacho kiabudu;
3. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
4. Wala sitaabudu mnacho abudu.
5. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
6. Nyinyi mna dini yenu, nami nina Dini yangu.
 


ayat 120 from Surah Al-Baqarah
﴿وَلَن تَرْضَىٰ عَنكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّهِ هُوَ الْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُم بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ اللَّهِ مِن وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ﴾
[ البقرة: 120]

Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu.
 
labda hayo mambo mengine lakini kwenye msosi hapo mmetupiga!
 
Moyo umeuma sana jamani kumpoteza Member Mwenzetu.
May Her Soul Rest in Peace 🙏. Poleni sana kwa msiba wa Mama.
 
Saa 11 alfajiri mtu kashiba ndiiii hawezi hata kunyanyuka Inabidi alale hapo hapo mpaka saa nne asubuhi ndo atleast apate nguvu za kuamka 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…