Kufunga ni kama mchezo wa kuigiza

Kuna muda saa mbovu linasema ukweli kumbe 😹😹
 
Siijui ID ya mama yako ila nimejikuta namkumbuka Dena Amsi. Mungu azilaze roho zao mahala pema peponi.
 
Nyie acheni masimango kwanza dini imesema tule vizuri tu.
Ndo mana wakat wa Ramadhani vyakula vinapanda bei mana wanajua makobaz hawafungi bali wanabadili ratiba ya kula, angalia makobaz wengi kipindi cha Ramadhani ndo wananunua sana chakula.
 
Huo ubinadamu mnaouzungumzia mi sina, Kufunga usiku mchana nashindilia vitu
 
Ndo mana wakat wa Ramadhani vyakula vinapanda bei mana wanajua makobaz hawafungi bali wanabadili ratiba ya kula, angalia makobaz wengi kipindi cha Ramadhani ndo wananunua sana chakula.
Makafiri mnashambulia kila kona. Loh
 
In reality waislam wengi hawafungi.

Kama ni mtu wa vijiwe na kuongea na watu tofaut utajua kua miaka ya hivi karibuni mfungo wa ramadhan sio kama wa siku za nyuma.

Kati ya dini nilizokua naamin ziko strictly na mafundisho yake ni Islam ila saivi nao tayari washajaa kwenye mfumo, wengi wako shallow kama wakristo tu(hasa catholics).
 
Tusitake uislamu wa bongo uwe kama wa Afghanistan au Pakistan.
 
Hii ndo maana halisi ya Imani, huwezi kuwa muhuni na mshenzy ukaelewa mambo ya rohoni, fool
 
Kuna kobaz amenipita hapa amebeba mifuko miwili ya matunda, Kivumbi leo πŸ˜‚ kabla ya saa 12 asubuhi yatabaki maganda tuu
Dah. Wenzio wananunua jumla wanakula kidogo kidogo. Kafiri acha usumbufu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…