Kufunga ni kama mchezo wa kuigiza

Wapo waislam wengi tu wasioamka kabisa usiku kwaajili ya kula daku. Wengine huamka tu na kusukutua na kuswali
 
Hivi saa 9 ya usiku, kesho yake inakuwa ni asubuhi baada ya kukucha au baada ya kufika saa 6 usiku?

Imekuwa kawaida sana unakuta mtu mmetoka banda umiza kucheki game iliyoisha saa 7 usiku then mnaagana unamsikia akisema "kesho"
Huwa tunakosea ila wengi huwa tunamaanisha siku hiyo hiyo
 
Makafiri mna shida sana na Uislamu na yote inasababishwa na kua nyninyi ni waovu , kama sio muovu huwezi kuuchukia uislamu.

Lazima ufahamu hayo yanayofanywa na baadhi ya waislamu sio lengo wao wanajidanganya wenyewe, msingi wa swaumu sio kushiba usiku au kukaa na njaa mchana, lengo la kufunga ni ibada , na msingi mkuu wa afya ni kula kwa kiasi tu, mfano daku inaweza kua ni glass ya maji au tende tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…