We unaonaje?Wewe umeweka avatar ya nini
Sina machoWe unaonaje?
Ahahaha kwani lazima ujib meseji PmWatu wanaogopa kupewa 7800 na mabaharia kama nauli
Ahahaha kwani lazima ujib meseji Pm
Pm yangu iko waz wadada wote manao taka maisha murua karibun Sana mm sio 7800tsh nawakaribisha Sana ila tu uwe mvumilivu Mana kuja kuonana Ni miaka 3 ijayo panapo uhai
Pm yangu iko waz wadada wote manao taka maisha murua karibun Sana mm sio 7800tsh nawakaribisha Sana ila tu uwe mvumilivu Mana kuja kuonana Ni miaka 3 ijayo panapo uhai
Tatizo picha insta utazikuta Mara Hadith kibao[emoji23][emoji23][emoji23] kwani uliambiwa hatuna passport?
Sawa sawa kabisa jirani.Just kutumia uhuru wao. Jiulize kwanini founders wameweka options ya kufunga??
Kabisa ya nini kufunga PM,kama hautaki kujibu si unapiga Kimya tu.Habarini wana JF.
Poleni na majukumu makubwa ya kujenga taifa, nina suala nataka niwasilishe kwenu japo ni suala la mtu binafsi.
Neno langu siyo sheria hivyo sina maana kwamba nataka watu wabadili faragha zao lah! Nataka kuwasilisha kulingana na maono yangu.
Baadhi yetu tumepiga kufuli kwenye akaunti zetu humu ndani kila mmoja akiwa na sababu zake za msingi na anazojua yeye mwenyewe kwanini afanye hivyo. Ila nikiwa nimetulia nimewaza na kuona huu ni uoga na kutokujiamini kwa mtu. PM unaweza kupokea taarifa kutoka kwa mtu na siyo lazima ujibu ila anaweza kusoma alichoandikiwa.
Sasa baada ya kutafakari kwa kina nimeona sina haja ya kufanya hivyo kwani nina option mbili (kujibu au kutokujibu).
Neno langu siyo sheria.
Mi amorcito Unforgetable njoo nikupe kufuli la pili ukaongezee hapo pm yako.[emoji8][emoji8]
Cc Unforgetable
Hujambo....Sawa sawa kabisa jirani.
Sijambo jirani.Hujambo....
Miss you. Jirani. Hivi sostenes yupo wapiSijambo jirani.
Nimefreeez last seenAnayefunga PM hana tofauti na yule anaetoa whatsApp last seen....wote naonaga ni watoto tu.
πππ professional memesPm bado na tafuta maana ya pm
Ila nahic kama personal meme [emoji57]