Kufunga tairi za size 225/70/R16 badala ya 225/65/R16

Kufunga tairi za size 225/70/R16 badala ya 225/65/R16

Kwa hiyo inaweza isiwe shida maana tofauti ni size ndogo sana. Ila tambua kuwa profile ikiwa kubwa sana, tairi zitakuwa zinagusa bodi wakati wa kukata kona.
Hahahahah sasa si anapenda mwenyewe😅 mie kijana wa kileo natembeleaje /60/65/70??? Kwani ni scania hio jamani!
 
Kwa hiyo inaweza isiwe shida maana tofauti ni size ndogo sana. Ila tambua kuwa profile ikiwa kubwa sana, tairi zitakuwa zinagusa bodi wakati wa kukata kona.
Size ndio inaweza kusumbua kwenye kona. Ila hiyo ni size sawa na iliyokuja na gari, ni imani yangu ndiyo size recomended kwa hilo gari
 
Mimi yangu ilikuja na 225/55/17 Nikabadilisha 225/60/17 imekaa vizuri sana
 
kiufundi tatizo lipo.

Tairi ya 225/70/R16 itakuwa na mduara mkubwa kidogo kuliko tairi ya 225/65/R16. Hii inaweza kuathiri usahihi wa spedomita na odomita ya gari. Kwa mfano, spedomita inaweza kuonyesha kasi ya chini kuliko kasi halisi ya gari.

Mduara mkubwa wa tairi unaweza kuathiri matumizi ya mafuta kwa kiasi fulani, kwani inahitaji nguvu zaidi kuzungusha tairi kubwa, hasa wakati wa kuanza mwendo.

etc

lakin kilegend badiri tu hamna noma sana. 😱 👨‍🔬
 
Back
Top Bottom