Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,085
- 4,890
Asante sanaHapo hakuna tatizo, nunua na funga hizo Tairi!
@RRONDOWadau Gari imekuja na Tairi Size 225/65/R16 nataka kufunga TAIRI MPYA NA.225/70/R16 je kuna TATIZO Lolote KIUFUNDI?Naomba Ushauri wetu.
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Size ya tairi ikiendana na rim basi profile sio shida iwe 45-50-55-60-65-70 wewe tu!Si italalia bodi mzee?
Wadau Gari imekuja na Tairi Size 225/65/R16 nataka kufunga TAIRI MPYA NA.225/70/R16 je kuna TATIZO Lolote KIUFUNDI?Naomba Ushauri wetu.
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo inaweza isiwe shida maana tofauti ni size ndogo sana. Ila tambua kuwa profile ikiwa kubwa sana, tairi zitakuwa zinagusa bodi wakati wa kukata kona.Size ya tairi ikiendana na rim basi profile sio shida iwe 45-50-55-60-65-70 wewe tu!
Hahahahah sasa si anapenda mwenyewe😅 mie kijana wa kileo natembeleaje /60/65/70??? Kwani ni scania hio jamani!Kwa hiyo inaweza isiwe shida maana tofauti ni size ndogo sana. Ila tambua kuwa profile ikiwa kubwa sana, tairi zitakuwa zinagusa bodi wakati wa kukata kona.
Kuna cm 5 ya kuinuka kwa gari lakini hakuna tatizoSize ya tairi ikiendana na rim basi profile sio shida iwe 45-50-55-60-65-70 wewe tu!
Size ndio inaweza kusumbua kwenye kona. Ila hiyo ni size sawa na iliyokuja na gari, ni imani yangu ndiyo size recomended kwa hilo gariKwa hiyo inaweza isiwe shida maana tofauti ni size ndogo sana. Ila tambua kuwa profile ikiwa kubwa sana, tairi zitakuwa zinagusa bodi wakati wa kukata kona.
Sawa sawaKuna cm 5 ya kuinuka kwa gari lakini hakuna tatizo
Funga 215/70/R16