Kufungiwa kwa Diamond Platnumz: Kwanini watu wengi wana furaha ya chuki?

IKIRIRI

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2018
Posts
2,734
Reaction score
3,023
Ukipita kwenye mitandao unaona waziwazi inawafurahisha watu si kwa sababu kavunja maadili hapana. Ni furaha tu kafungiwa.

Leo inasambaa barua ya BASATA kusisitiza kafungiwa, furaha inazidi.

Jamani tuache roho mbaya.. kwanini lakini?
 
Ukipita kwenye mitandao unaona waziwazi inawafurahisha c kwa sababu kavunja maadili hapana..ni furaha tu kafungiwa...
Leo inasambaa barua ya basata kusisitiza kafungiwa furaha inazidi @ jamani tuache roho mbaya...y lakini ?
BASATA yani wanazima moto sufuria wanatoboa na kuni wanazimwagia maji ugali wanaumwaga mchangani na mboga wanampa mbwa.
Yani mimi kinacho nistaajabisha ni eti hadi asiperform nje mimi kwa uelewa wangu finyu labda naona ni undezi wa kiwango cha standard gauge.
Ila na yeye Diamond alionyesha furaha wenzake walipozuiwa kufanya tamasha lao akasahau Mungu ni wetu sote.
 
Kwahiyo wewe mtoa mada unataka tuchekelee, tufurahie upuuzi wake Sio?.. Tufurahie matusi yake?.. Kitendo cha kumrecord yule mfnyakazi WA uwanja wa ndege mwanza pia ulitaka tuchekelee,.. Diamond Sio malaika kumuheshimu kwa kila kitu, akifanya vizuri apongezwe, hila akileta upuuzi pia Lazma akosolewe,..
 
Labda baadhi yao wanachuki ila mfano mimi namkubali sana na kwake kuna mengi yakujifunza sema kwa sasa hivi jamaa anazidisha baadhi ya Vitu atujafikia bado kuanza kuimba matus waziwazi na kuwatuna ovyo ovyo uo ni ukaid na ujeur ila bado tunajifunza pia ukifanikiwa usiwe hivyo........!

Mwangalie zaman alikua mtu humble sana ata kwenye interview zake ila mtazame sasa hiv n tofaut.
 
Ukipita kwenye mitandao unaona waziwazi inawafurahisha c kwa sababu kavunja maadili hapana..ni furaha tu kafungiwa...
Leo inasambaa barua ya basata kusisitiza kafungiwa furaha inazidi @ jamani tuache roho mbaya...y lakini ?
Ukiishi kwa upanga tegemea kufa kwa upanga! Maisha anayoishi ndiyo yanafanya kuwa na watu wenye chuki nyingi juu yake. Social Media ni platform nzuri na muhimu lakini ikitumiwa visivyo inaweza kuwa maangamizi ya maisha yako. Miaka ya nyuma Tanzania tuliwahi kuwa na wanamuziki maarufu lakini walikuwa wanapendwa kila kona... kwanini?
 
Labda baadhi yao wanachuki ila mfano mimi namkubali sana na kwake kuna mengi yakujifunza sema kwa sasa hivi jamaa anazidisha baadhi ya Vitu atujafikia bado kuanza kuimba matus waziwazi na kuwatuna ovyo ovyo uo ni ukaid na ujeur ila bado tunajifunza pia ukifanikiwa usiwe hivyo........!

Mwangalie zaman alikua mtu humble sana ata kwenye interview zake ila mtazame sasa hiv n tofaut.
Hebu orodhesha hayo mengi ambayo umejifunza kutoka kwake!
 
Kitendo cha Diamond kumpiga vdo clip yule mfanyakazi wa uwanja wa ndege bila ridhaa yake na kutuma kweye social media hakikua chakiungwana na hakikutakiwa kufanywa na mtu kama Diamond,

Kuhusu watu kufurahia Diamond kufungiwa,huwezi kuwahukumu moja kwa moja kua watu wamefurahia kwa kumchukia tu Diamond bali huenda wamefurahi kuona kua sheria zipo kwa wote na hazibagua hata kama wewe ni star,nobody is above the law,
But watu wasiishie tu kufurahia kwa Diamond kufungiwa bali wajifunze kupitia kwa Diamond kufuata sheria za nchi,

Mwisho mimi napenda kusikiliza nyimbo za Diamond na Ali kiba wanafanya vizuri so far.

One love.
 
Huwezi kupendwa na kila mtu

huenda wanaomchukia ndo waliomfikisha hapo.

Hatufanikiwi kwenye mtelemko, tunafanikiwa kwenye changamoto
 
Ukipita kwenye mitandao unaona waziwazi inawafurahisha c kwa sababu kavunja maadili hapana..ni furaha tu kafungiwa...
Leo inasambaa barua ya basata kusisitiza kafungiwa furaha inazidi @ jamani tuache roho mbaya...y lakini ?
Mbona hukusema ile clip yake alivyofurahia wenzake kufungiwa tamasha? Mkuki kwa nguruwe sio
 
tunafurahia kuona hadi wale wazee wa DADY IS COMING nao wanaisoma namba walijua wanajua fitna kumbe huyu jamaa ni kama nyoka hata umtunze vp siku ukimkanyaga lazima akugonge
 
kweli pata pesa tuijue tabia yako

Jamaa hakua hiv kabisa
 
Ukipita kwenye mitandao unaona waziwazi inawafurahisha watu si kwa sababu kavunja maadili hapana. Ni furaha tu kafungiwa.

Leo inasambaa barua ya BASATA kusisitiza kafungiwa, furaha inazidi.

Jamani tuache roho mbaya.. kwanini lakini?
Hatutaki nyimbo zisizo na maadili tz
 
Ukipita kwenye mitandao unaona waziwazi inawafurahisha watu si kwa sababu kavunja maadili hapana. Ni furaha tu kafungiwa.

Leo inasambaa barua ya BASATA kusisitiza kafungiwa, furaha inazidi.

Jamani tuache roho mbaya.. kwanini lakini?
mkuu,
umewahi kujiuliza kwanini hao unaowaita wana furaha ya chuki walihuzunika siku basata waliposema wimbo wa roma umefungiwa?????

si ndo huyu alisema wacha akae kimya??????

kijana anafanya kazi nzuri sana tatizo mlezi anampa kiburi cha kijinga kabisaaaa
 
Ukipita kwenye mitandao unaona waziwazi inawafurahisha watu si kwa sababu kavunja maadili hapana. Ni furaha tu kafungiwa.

Leo inasambaa barua ya BASATA kusisitiza kafungiwa, furaha inazidi.

Jamani tuache roho mbaya.. kwanini lakini?
Watu hawamchuki kwa sababu ya kufanikiwa kwake Bali kwa Tabia yake
 
Ukipita kwenye mitandao unaona waziwazi inawafurahisha watu si kwa sababu kavunja maadili hapana. Ni furaha tu kafungiwa.

Leo inasambaa barua ya BASATA kusisitiza kafungiwa, furaha inazidi.

Jamani tuache roho mbaya.. kwanini lakini?
Diamond mbona yeye alifurahia fiesta kufungiwa...sababu zilizomfanya yeye afurahie fiesta kufungiwa ndo zimewafanya watu wafurahi yeye kufungiwa
 
Watu wengi wanapata hasira wanapoona MTU masikini kawa na uwezo Wa kimaisha au kuwa na mafanikio ..hawataki kukubali kama umetoboa
Unajua mnamatatizo sana nyie...tatzo si kutoboa tatzo dharau ....na nyodo.....muelewe hapo ....nani akuchukie na Pesa zako ulizopata juzi....mbona masanja ana maisha mazuri sana lakin ikitokea kafungiwa sidhan kama watafurahi mashabiki........ishi na watu vizuri ili wakuone wa maana ...haohao ndo watakaokuadhibu...jibu lako kwamba anachukiwa kisa katoboa huo ni mtazamo hafifu kabisa
 
Avatar uliyoiweka na maneno yako

Havina mfanano

Back
Top Bottom