Kufungiwa kwa Manara kumepooza soka bongo.(Tanzania)

HOPEfull

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2021
Posts
1,882
Reaction score
2,313
Kazi iendelee.

Kuna hali Fulani ya kushuka kwa soka bongo inaonekana hasa katika kipindi hiki ambacho Alhaaji Bingwa gwiji Haji Manara kufungiwa kujihusisha na soka.

Mimi sio mfuatiliaji sana wa soka ila kwa sasa hapa bongo ukiondoa Mayele na Chama hakuna tena amsha amsha ya soka bongo imedorora hamasa ya soka imeshuka kuna hali Fulani inaonekana kukosekana kwa Manara.

Hata media kwa namma Moja na nyingine zimeathirika.Hata kiuchumi pia kwa mtu mmoja mmoja kunaweza kukaguswa.

Hata huko tff walikotoa adhabu nako kunaweza kukawa kumeathirika wanatafutana kifupi soka la Bongo kwa sasa limedhoofu.

Timu ya Taifa ndio haiekeweki kabisa iko mahututi.Wananchi hawana hata time nayo.Kuna haja ya viongozi huko walikotoa adhabu kujitathimini kama bado wanafaa kuwepo kuongoza hili gurudumu la soka bongo.

Hakuna ubunifu wao ni mwendo wa miadhabu tu.Sasa adhabu nyingine ndio hivi zinaleta side effect.Zinakudhuru mwenyewe.

Adhabu ni kumkanya mtu au kumuonya sio kumuangamiza na inatakiwa ilete kumjenga na kufanya kuwa kwenye positive side.

Kwenye soka unampa mtu adhabu two years ..five years then what unachotaka kitu gani hapo zaidi ya kuua soka.

Mtoto wako hata akukosee Mara ngapi bado ni mtoto wako tu hata ulie lie vipi inatakiwa utumie subira na busara.

Mpige mtu adhabu ya fine alete pesa maisha yaendelee.Mpumzishe miezi miwili mitatu ajitafakari arudi kwenye utulivu maisha mengine yaendelee.Sasa adhabu za kukomeshana hizi matokeo yake ndio haya.Soka bongo limevurugika yaani limebaki patangu patangu haliekeweki hakuna ubunifu.

Tuache hisia zetu kwenye uongozi tutumie sana akili na busara na elimu zetu ambazo sio za kujivunia bali za kutusaidia kutatua matatizo yetu ya hapa na pale.Na sio kuangamizana.

Alhaaji bingwa gwiji Haji Manara ana nyota na kupaji chake ambacho Mungu amempa hawezi kuwa mkamilifu kabisa.Hata Manabii wa Mungu nao walikosea.Asante.

Vumilieni muandiko mpangilio simu nayotumia hata mi mwenyewe jina lake siijui.
 
Ni kweli
 
Sio Kweli..!

Sana Sana Kumetoa nafasi Waibuliwe Wana Habari Mahiri kwenye Soka ambao Nchi imebarikiwa Kuwa Nao Ambao Walikuwa wamezibiwa nafasi hizo Na Watu kama Manara..!

Mfano ni Kina Ali Kamwe,Ahmed Ali, Ibwe Na Wengine ambao Wameziba Kbs Ombwe lililokuwepo Na Wana Mipasho Kina Manara..!

Vijana hawa kazi husika Wanafanya na pia Wamerudisha 'Utani halisia' kwenye Soka ..! Sio Chuki Na Mitusi.

Huyu Mzee abaki huko huko Kifungoni na Wanawake dogo dogo anaowapenda Waendelee Kumpiga Matukio..!
 
Back
Top Bottom