Tetesi: Kufungiwa kwa Torrentz

Tetesi: Kufungiwa kwa Torrentz

desiigner

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2014
Posts
520
Reaction score
229
Habari JF,
Taarifa ambazo hazija thibitishwa ni kwamba ile search engine pendwa ya torrentz.eu imefungiwa pia.
Kwa sasa ukiingia katika hiyo link hutoweza kusearch kama zamani, utaletewa ujumbe huu
(Torrentz will always love you. Farewell)

Capture.PNG

Mwenye taarifa za huakika naomba usibitishe hili.
.
.
.
Ahsante.
 
endelea kupitia hizi mbadala
- torrentproject .com
- bitcq. com
Zote hizi ni search engine nzuri.

Pia download torrent kupitia direct link kwa IDM kupitia hii site seedr .cc
Hiyo safi mkuu
 
Habari JF,
Taarifa ambazo hazija thibitishwa ni kwamba ile search engine pendwa ya torrentz.eu imefungiwa pia.
Kwa sasa ukiingia katika hiyo link hutoweza kusearch kama zamani, utaletewa ujumbe huu
(Torrentz will always love you. Farewell)

View attachment 376345

Mwenye taarifa za huakika naomba usibitishe hili.
.
.
.
Ahsante.
Hii kitu nimekutana nayo leo,nilipokuwa najaribu kupakuwa queen of the south s1 e7 na tyrant s3 e 4,ikabidi niwe mpole tu [emoji4]
 
syo kweli torent ipo kama kawaida tumia internet explorer

Nimejaribu na internet explorer imekuja vilevile labda utuambie wewe unatumia version ipi au mara ya mwisho kuingia kweny hiyo link link?
in.PNG
 
Back
Top Bottom