Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Use piratebay.comHabari JF,
Taarifa ambazo hazija thibitishwa ni kwamba ile search engine pendwa ya torrentz.eu imefungiwa pia.
Kwa sasa ukiingia katika hiyo link hutoweza kusearch kama zamani, utaletewa ujumbe huu
(Torrentz will always love you. Farewell)
View attachment 376345
Mwenye taarifa za huakika naomba usibitishe hili.
.
.
.
Ahsante.
Hii kitu nimekutana nayo leo,nilipokuwa najaribu kupakuwa queen of the south s1 e7 na tyrant s3 e 4,ikabidi niwe mpole tu [emoji4]
Habari JF,
Taarifa ambazo hazija thibitishwa ni kwamba ile search engine pendwa ya torrentz.eu imefungiwa pia.
Kwa sasa ukiingia katika hiyo link hutoweza kusearch kama zamani, utaletewa ujumbe huu
(Torrentz will always love you. Farewell)
View attachment 376345
Mwenye taarifa za huakika naomba usibitishe hili.
.
.
.
Ahsante.
kat.cr imekula ban instead tumia kat.alPia Kick ass torrents imeshapigwa ban
Aisee umetaja tyrant,nimeimiss mno, especially kaka JamalHii kitu nimekutana nayo leo,nilipokuwa najaribu kupakuwa queen of the south s1 e7 na tyrant s3 e 4,ikabidi niwe mpole tu [emoji4]
Aisee umetaja tyrant,nimeimiss mno, especially kaka Jamal
Unatumia search engine ipiMe mbna hapa naendelea kama kawaida kudownload