endelea kupitia hizi mbadalaMaisha bila piracy ni magumu kweli
Hiyo safi mkuuendelea kupitia hizi mbadala
- torrentproject .com
- bitcq. com
Zote hizi ni search engine nzuri.
Pia download torrent kupitia direct link kwa IDM kupitia hii site seedr .cc
Hii kitu nimekutana nayo leo,nilipokuwa najaribu kupakuwa queen of the south s1 e7 na tyrant s3 e 4,ikabidi niwe mpole tu [emoji4]Habari JF,
Taarifa ambazo hazija thibitishwa ni kwamba ile search engine pendwa ya torrentz.eu imefungiwa pia.
Kwa sasa ukiingia katika hiyo link hutoweza kusearch kama zamani, utaletewa ujumbe huu
(Torrentz will always love you. Farewell)
View attachment 376345
Mwenye taarifa za huakika naomba usibitishe hili.
.
.
.
Ahsante.
Leo tena au..!!?Pia Kick ass torrents imeshapigwa ban
nimeingia leo mda syo mrefu nimedowload movie mpya ya jason bourne na batman killings na independence day ikingia kickass.cdNimejaribu na internet explorer imekuja vilevile labda utuambie wewe unatumia version ipi au mara ya mwisho kuingia kweny hiyo link link?View attachment 376714