Kufungiwa kwa Viwanja vya soka vya Zanzibar liwe funzo kwa TFF na vilabu vya Tanganyika

Taarifa kutoka Zanzibar imeeleza kwamba Shirikisho la Soka la Nchi hiyo limezuia matumizi ya Viwanja vya soka vya New Aman Complex na Gombani kwa kile kinachoitwa kupisha matengenezo.

Uwanja wa Aman umezinduliwa hivi karibuni ukiwa umekamilika, Sasa leo tunaambiwa unafungwa ili kupisha Matengenezo!

Lakini taarifa zingine zinaeleza kwamba, Jambo hilo limefanyika ili kukomesha Upuuzi wa Timu za Tanganyika kuutumia uwanja huo kwa masilahi ya kisiasa yenye lengo la kufifisha ligi ya Zanzibar inayosimamiwa na ZFF.

Nachukua nafasi hii kuipongeza ZFF kwa kulinda Rasilimali za Nchi yao na kuondoa Mamluki waliotaka kuzitumia kisiasa.

Jambo hili liwe funzo kwa Watanganyika, Watambue kwamba si kila Nchi ni Shamba la Bibi kama ilivyo Nchi yao.

Mungu Ibariki Jamhuri ya Watu wa Zanzibar.
Kama umefungiwa kweli basi sababu itakua ni maandalizi ya sherehe za Mapinduzi. Rehearsal chini ya usimamizi wa JWTZ linapigwa miezi miwiili pale.
 
Nchi ni nini?
No, Zanzibar is not a country, but rather a semi-autonomous region within the United Republic of Tanzania:

Status
Zanzibar is an archipelago of islands in the Indian Ocean, located off the coast of Tanzania. It's not an independent country, but instead is part of a union with Tanzania.

Government
Zanzibar has its own government and parliament, but foreign policy and defense are handled by the Tanzanian government.

History
Zanzibar was once an independent state, but united with Tanganyika in 1964 to form Tanzania.

Travel
A visa for Tanzania is valid for Zanzibar as well, so no additional visa is required. The main island of Zanzibar has an international airport, so some travelers can fly directly to Zanzibar.

Attractions
Zanzibar is known for its white beaches, blue sea, and pleasant temperatures. It's also a good destination for diving, with opportunities to see coral reefs and ocean life.

NB
Sisi ni wamoja, achaneni na mambo ya ukanda hayo yanatugawa vibaya sana.

Peace and love
 
Uliposema is part of a Union with Tanzania ulilenga kumdanganya nani?
 
Hayo Jua wewe
Shida mmekomaa na ushabiki wa ukanda.

Kaa chini soma nini maana ya nchi, tafuta sifa za nchi na vitu ambavyo nchi yoyote lazima iwe navyo halafu angalia Zanzibar...

Hata wewe hapo nikikwambia nionyeshe mahali ambapo Zanzibar inatambulika kama nchi hauna huo uwezo zaidi ya propaganda za mdomoni tu.

Hakuna nchi inaitwa Tanganyika au Zanzibar hapa duniani unless otherwise mvunje huo muungano....

Ndiyo maana hata ishu za bajeti zinatoka ndani ya jamhuri ya muungano, ulinzi n.k

Vinginevyo kama unapenda ni kupoteza muda kubishana.
 
Wewe ndio utufundishe sisi mambo haya!
 
Back
Top Bottom