- Thread starter
- #21
Kumbe mnaangalia na kumfuatilia mgombea huyu kipenzi cha watu?
Very comfortable - kiingereza mnakipenda? Mpeni pole jiwe.
Unamwongelea Lissu je anakubaliana na huu utopolo wako mwenye shati mboga mboga?
Wewe ndiyo ulimpa adhabu ya siku 7?
Kwamba mburula huyu anataka kujilinganisha na Lissu? Si akagombee hata udiwani aione joto ya jiwe?