Ukiona mtu anakubeza jua anakufuatilia kila yunalofanya ajue wapi pa kutokea kesho. Leo mko kwenye English ya Magufuli anaunguruma leo. Kama kawaida kesho mtatafuta pa kukosoa.Kumbe mnaangalia na kumfuatilia mgombea huyu kipenzi cha watu?
Very comfortable - kiingereza mnakipenda? Mpeni pole jiwe.
Unamwongelea Lissu je anakubaliana na huu utopolo wako mwenye shati mboga mboga?
Wewe ndiyo ulimpa adhabu ya siku 7?
Kwamba mburula huyu anataka kujilinganisha na Lissu? Si akagombee hata udiwani some hiyo ya jiwe?
Ukiona mtu anakubeza jua anakufuatilia kila yunalofanya ajue wapi pa kutokea kesho. Leo mko kwenye English ya Magufuli anaunguruma leo. Kama kawaida kesho mtatafuta pa kukosoa.
Wewe ni fala tu....!!!Kwa uchochezi ule alipaswa afungiwe maisha kushiriki siasa sema kwa sasa ana immunity ya ugombea urais ila uchaguzi ukiisha akijichanganya atajuta .tunamsubilia nje ya uringo