RADIO Imaan, elimu bila mipaka huu msemo sii sahii lazima elimu iwe na mipaka huwezi fundisha mambo ya ndoa radioni kama wanavyofanya, unamfundisha nani?? IFUNGWE.. IFUNGWE. ELIMU LAZIMA IWE NA MIPAKA
kuna ubaya wowote kuzungumzia mfumo uwe wa kiislamu au kikristo? mtu kusema anaonewa ni kosa!? waislamu walichunguza na kuona kuwa baraza la mitihani lilifelisha watoto wa kiislamu makusudi katika mtihani wa islamic knowledge. baraza lilikiri na kusema lilikua kosa la kompyuta. pana madai kuwa katika bodi ya NECTA na wana kamati hakuna muislamu hata mmoja. redio ya kiislamu kuongelea suala hilo ni majungu / kosa!?
kwa nini kwa mwanasiasa kuchunguza jambo ni sahihi lakini kwa redio ya dini kuchunguza tatizo linalo athiri dini husika kwa hoja kwa liwe kosa?
naomba unijibu kuhusu madai yaliyotolewa dhidi ya baraza la mitihani. je madai haya yanahatarisha amani?
Hata kabla ya sensa, wamekuwa wakilinganisha idadi ya watumishi waliopo kwenye taasisi za serikali kuwa hapa pana waisilamu wachache kuliko wakristu. Sasa huo ni uchochezi kwamba kuna mtu au watu walikuwa wanatoa ajira kwa upendeleo, jambo ambalo ukweli wake ni kwamba ajira zinatolewa kwa qualifications alizonazo mtu.[/Q hii redio imefaulu kupanda mbegu ya chuki miongoni mwa wtz adhabu iliyotolewa haitoshi
ha ha ha ati watu wanaajiriwa kutokana na qualification zao, tangu lini?
Hii kitu inaitwa merit is no more kwenye ajira. Its about who you know ie mambo ya mjomba mjomba, chama chama etc.
Officially zinazotakiwa ni qualifications, hayo mambo ya mjomba mjomba hayatakiwi na ukiyagundua unatakiwa uyaripoti, sio kulalamika baada ya mtu kupewa ajira!ha ha ha ati watu wanaajiriwa kutokana na qualification zao, tangu lini?
Hii kitu inaitwa merit is no more kwenye ajira. Its about who you know ie mambo ya mjomba mjomba, chama chama etc.
Mkuu Kwanza nomba wafanyakazi wote wa redio Iman mrudi shule, bora hata mkasome certificate ya uandishi wa habari, utangazaji wenu unaonyesha nikiasi gani mmemaliza digrii za madrasa tu, na izo madrasa mmesoma kwa kiarabu na mwalimu alikua hawambii maana, saa nyingine mnaongea pumba mpaka aibu, nyie mmesomea kupandikiza chuki.Tumo katika nchi inayofuata sheria. nchi yoyote ile lazima iongozwe kwa kufuata sheria. TCRA ni chombo kinacho simamia vyombo vya habari vya kielektroniki hasa redio na televisheni. kina mamlaka ya kuonya au hata kufungia chombo cha habari kinacho kiuka maadili ya utangazaji.
redio imaan ya morogoro na kwa neema fm ya mwanza zimefungiwa na kamati ya maudhui (content committee) iliyo chini ya TCRA. clouds fm ya dsm imeonywa na kutozwa faini ya 5,000,000/=. sababu iliyo tolewa ya kuifungia redio imaan ni kuhamasisha waislamu wasishiriki katika sensa ya mwezi agosti mwaka jana. kuhusu kwa neema fm imeelezwa kuwa imehamasiha kwa zaidi ya miezi 4 wakristo wasile nyama iliyochinjwa na waislamu hadi uhamasishaji wao ukasababisha watu kuuana!. clouds fm inasemekana walicheza clip ya askofu wa marekani aliekua akiunga mkono ushoga. watangazaji waliiunga mkono kauli yake na kusema kuwa mashoga waruhusiwe. ni haki yao.
lengo lango ni kuizungumzia redio imaan huku nikiakisi redio nyingine mbili. ni takriban miezi 7 tangu sensa ya watu ifanyike. kwa mujibu wa bbc jana jioni, mkurugenzi wa redio imaan alipohojiwa alisema kuwa redio yake ilikua ikiripoti maoni ya watu kuhusu kipengele cha dini kuwekwa kwenye dodosa za sensa. alisema kuwa japo kila mtu ana uhuru wa kuisikiliza redio imaan lkn imewalenga sana waislamu. waislamu ndiyo wenye redio na michango yao ndiyo inaifanya redio iwepo. alisema kuwa waislamu walijenga hoja kuwa wanabaguliwa katika mambo mengi hasa ajira serikalini kwa madai kuwa ni wachache. wao wanaamini ni wengi. walitaka kwenye dodosa kiwekwe kipengele cha dini ili ukweli ujulikane kama zifanyavyo nchi nyingine. alisema kuwa mada ilianzishwa na watu wakawa wanapiga simu kuchangia mada hiyo.
aliendelea kusema kuwa katika kipindi cha miezi 7 iliyopita, hajawahi kupokea barua kutoka TCRA ikimuonya kuhusu mada ya sensa! inakuaje afungiwe ghafla bila hata karipio!? alisema vipindi vya redio imaan vimekua vikiendeshwa kwa ueledi na kwa kuzingatia taaluma ya utangazaji. redio imaan haijawahi kuhamasisha mtafaruku, kuhatarisha amani na kusababisha vifo vya raia. imekua daima ikieleza na kuripoti ukweli kuhusu mambo mbalimbali yanayotukia hapa nchini.
MY TAKE:
ukiangalia kosa la kwa neema fm, utagundua kuwa uhamasishaji ulikua wa wazi na hadi ulikaidi amri ya serikali ya kuomba uchinjaji uendelee huku suluhu ikitafutwa. redio ilipuuzia agizo la serikali na kuendelea na uhamasishaji bila ya kuangalia madhara yake. matokeo yake watu wakauana! inakuaje clouds fm inayo shabikia ushoga ipewe karipio na kutozwa faini lakini redio imaan inafungiwa! watu kudai haki ya kutambuliwa katika dodosa za sensa na wanaohamasisha ushoga ni yupi anaekiuka maadili na katiba ya nchi?
kazi kwenu wadau kutoa majibu yenye hoja zilizo kwenda shule!
naomba kuwasilisha!
kila mtu ana haki ya kuabudu. Amna mwenye haki ya kumzuia mwengine kufanya ibada ikiwa anafata kitabu cha imaan yake
Radio
hii ilikuwa inachochea migomo ya wanafunzi wa kiislam kule Mtwara ikawa
ndo toipic kila kukucha ikahamasisha waislam kusafiri kwenda mtwara
kuwaunga mkono wanafunzi waliogoma wakitaka misikiti ijengwe mashuleni
kama ilivyo makanisa yaliyojengwa tangu enzi zamani shule zikiwa za
misheni kabla kutaifishwa na serikali na mengine mengi kila kukicha
inaongelea chuki kwa wakristo badala ya maendeleo na mafundisho mema
katika dini.
kila mtu ana haki ya kuabudu. Amna mwenye haki ya kumzuia mwengine kufanya ibada ikiwa anafata kitabu cha imaan yake
kuna ubaya wowote kuzungumzia mfumo uwe wa kiislamu au kikristo? mtu kusema anaonewa ni kosa!? waislamu walichunguza na kuona kuwa baraza la mitihani lilifelisha watoto wa kiislamu makusudi katika mtihani wa islamic knowledge. baraza lilikiri na kusema lilikua kosa la kompyuta. pana madai kuwa katika bodi ya NECTA na wana kamati hakuna muislamu hata mmoja. redio ya kiislamu kuongelea suala hilo ni majungu / kosa!?
kwa nini kwa mwanasiasa kuchunguza jambo ni sahihi lakini kwa redio ya dini kuchunguza tatizo linalo athiri dini husika kwa hoja kwa liwe kosa?
naomba unijibu kuhusu madai yaliyotolewa dhidi ya baraza la mitihani. je madai haya yanahatarisha amani?
well stated.kila mtu ana haki ya kuabudu. Amna mwenye haki ya kumzuia mwengine kufanya ibada ikiwa anafata kitabu cha imaan yake
Hapo naona umeitetea redio Imani tu. Kimsingi ilitakiwa iwe imefungiwa hata kabla ya mambo ya sensa hayajaanza kuwa public
Ndugu zangu waisilamu acheni lawama zisizo na msingi pelekeni watoto wenu shule. Makanisa yana vyuo vikuu vingi nyie mnavyo vingapi? Angalia matokeo ya form IV mwaka huu, katika shule 10 bora kuna ngapi za kiisilamui? Kwa khali hiyo hata kama ungefanya interview leo ukawa fair katika watu 10 wanao qualify uwezekano mkubwa wa kukuta 7 ni wakristu ni mkubwa. Pamoja na hayo Mbona Raisi, makamu wake, IGP, Mkurugenzi wa usalama wa taifa, commissioner general wa TRA ni waisalamu lakini wakristu hawalalamiki?
Mkuu Kwanza nomba wafanyakazi wote wa redio Iman mrudi shule, bora hata mkasome certificate ya uandishi wa habari, utangazaji wenu unaonyesha nikiasi gani mmemaliza digrii za madrasa tu, na izo madrasa mmesoma kwa kiarabu na mwalimu alikua hawambii maana, saa nyingine mnaongea pumba mpaka aibu, nyie mmesomea kupandikiza chuki.
Ombi langu kwa serikali, hiyo redio ifungiwe kabisa make hamna faida katika jamii, mimi muislamu lakini ninawachukia kabisaa, bora nisikilize wapo fm kuliko nyie mnaotangaza kutumia masabuli
ndo umeshachangia hapa,HUYO RAIS SI MMEMCHAGUA WENYWE,KWANI HAKUKUA NA MGOMBEA MKRISTO TENA MKATOLIKINdugu zangu waisilamu acheni lawama zisizo na msingi pelekeni watoto wenu shule. Makanisa yana vyuo vikuu vingi nyie mnavyo vingapi? Angalia matokeo ya form IV mwaka huu, katika shule 10 bora kuna ngapi za kiisilamui? Kwa khali hiyo hata kama ungefanya interview leo ukawa fair katika watu 10 wanao qualify uwezekano mkubwa wa kukuta 7 ni wakristu ni mkubwa. Pamoja na hayo Mbona Raisi, makamu wake, IGP, Mkurugenzi wa usalama wa taifa, commissioner general wa TRA ni waisalamu lakini wakristu hawalalamiki?