Kufungua akaunti ya biashara nini kinahitajika?

Kufungua akaunti ya biashara nini kinahitajika?

Mkuu nenda bank husika mapokezi(reception) watakuambia vitu wanavyohitaji.Acha uoga mkuu hawatokudhuru.
 
1. Biashara

Vingine watakuja wajuzi zaidi kusaidia.
 
Inatakiwa company registration,TIN,leseni ya biashara,benk zingine na mkataba wa pango wanataka
 
Back
Top Bottom