Kuna ujumbe wako PM mkuuHabarini wakuu..! Poleni na mihangaiko, nilikua naombeni maoni ninahitaji kuanzisha biashara hapa morogoro. So kwa wenyeji wa mji huu nilitaka kujua biashara gani zipo vizur kwenye kutengeneza pesa regardless of the risk wala mtaji wake. Ahsanteni
Nakaribisha maoni
Jaribu kati ya hizi
Duka la spea za pikipiki
Duka la nguo
Miyumba classic hasa wanachuo wakiwep
Lodge
Tupe ujanjaKama anahitaji kweli naweza kumsaidia idea maana nimefanya tafiti za kutosha, Mimi nilikwama kwenye vyanzo vya mtaji,ila fursa hio bado ipo
Biashara ya usafiri wa bajaji au boda boda.. low risk na ina assurance ya return.
Hiyo ya bodaboda asiwe mgegedaji tuuBiashara ya usafiri wa bajaji au boda boda.. low risk na ina assurance ya return.
Embu nipe nondo kuhusu bajaji ,nifanye uamuzi sahihiBiashara ya usafiri wa bajaji au boda boda.. low risk na ina assurance ya return.