Kufungua biashara morogoro mjini

Kufungua biashara morogoro mjini

kizaytor

Member
Joined
Nov 7, 2018
Posts
63
Reaction score
83
Habarini wakuu..! Poleni na mihangaiko, nilikua naombeni maoni ninahitaji kuanzisha biashara hapa morogoro. So kwa wenyeji wa mji huu nilitaka kujua biashara gani zipo vizur kwenye kutengeneza pesa regardless of the risk wala mtaji wake. Ahsanteni
Nakaribisha maoni
 
Kuna ujumbe wako PM mkuu
 
Huo mji ni mgumu sana kwenye biashara kuna utitiri wa biashara
 
Biashara ya usafiri wa bajaji au boda boda.. low risk na ina assurance ya return.
 
Jaribu kati ya hizi
Duka la spea za pikipiki
Duka la nguo
Miyumba classic hasa wanachuo wakiwep
Lodge
 
Kama anahitaji kweli naweza kumsaidia idea maana nimefanya tafiti za kutosha, Mimi nilikwama kwenye vyanzo vya mtaji,ila fursa hio bado ipo
 
Jaribu kati ya hizi
Duka la spea za pikipiki
Duka la nguo
Miyumba classic hasa wanachuo wakiwep
Lodge

Nmejaribu kuangalia sana kati ya hizo na nmeona zipo zipo kwa hapa mjini.. ila nahs ya vifaa vya pikipiki au imekaa vzur. Wacha niendelee ku-explore zaidi
 
Biashara ya usafiri wa bajaji au boda boda.. low risk na ina assurance ya return.

Bajaji nmeziona sanaa hapa mjini na znafanya kazi sana na nmejaribu kuuliza uliza.
Tho nmepata jamaa mmoja kanambia ni mara mia kununua coaster/hiace na kufanya safari za kwenda mvomero/kibaigwa/malinyi na sehemu za mbali huko vijijini and it pays alot
 
Kwa kua moro ni pitio jaribu kuhodhi eneo utumie kulaza malori na magari mengineyo.

Spare zitafaa ila changamoto hapo moro mtu anaweza agiza dar akasubiri masaa 4 ikamfikia.
 
Nafikili hapo kwenye maswala ya usafiri naona labda kuuza vilainishi vya injini na mitambo... Lubricants
 
Back
Top Bottom