Kufungua biashara ya barbershop

Kufungua biashara ya barbershop

nalo neno

Member
Joined
Aug 6, 2014
Posts
89
Reaction score
41
Habari zenu sana jamvii. Nahitaji kufungua biashara ya barbershop ya kisasa eneo nililopo, ingawa zipo saluni ndogo ndogo za kiume kama 6 hivi na barbershop za kawaida tatu na zina nafasi finyu kidogo. Je naweza kujitosa na kufungua ilihali kuna saluni nyingi hapa mtaani?

Aidha ni biashara gani huwa zinauhusiano wa moja kwa moja na barbershop, mfano car wash, pub ndogo n.k ili mtu awe mbele zaidi kihuduma dhidi ya washindani wake?

Asanteni.
 
Back
Top Bottom