Kufungua blackberry storm

Kufungua blackberry storm

KyelaBoy

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2008
Posts
206
Reaction score
22
Wapendwa naomba msaada wenu,nina simu aina ya Blackberry storm imefungwa,nimepeleka kwa watalamu wa kufungua wanadai kuwa Havana utaalamu wa kufungua BB aina ya storm.Kama kuna yeyote anajua anisaidie …
 
Jamaa wa Vodacom waliwahi ku-unlock iPhone. Ulizia kama wanaweza kufanya utundu kwenye Blackberry. Also check with Zain and others.
 
Kaka kwa nini imefungwa, sio ya wizi hiyo!?
 
Kaka kwa nini imefungwa, sio ya wizi hiyo!?
A SIM lock, simlock, network lock or subsidy lock is a capability built into GSM phones by mobile phone manufacturers. Network providers use this capability to restrict the use of these phones to specific countries and network providers.

Kwa maelezo zaidi bofya hapa ujionee pia Unlocking technology:
SIM lock
 
Umenunua mpya? Na wapi? Ukipata haya majibu nenda zain
 
Back
Top Bottom