mama dunia
JF-Expert Member
- Dec 22, 2011
- 420
- 84
Yes, nilazima leseni.
Mwenye data kamili atupatie jamani tunahitaji michango yenu zaidi katika hili.Utaomba Leseni upya ili Halmashauri husika ipate kipato.
Ila TRA ndio hautosajili upya,maana utatumia TIN number ya biashara yako ya awali,wao ni kutoa cheti tu.
Ni muono wangu