Kufungua branch mkoani

Kufungua branch mkoani

mama dunia

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2011
Posts
420
Reaction score
84
Hi wanajamvi,

Eti mfano nataka kufungua branch mkoani eti nahitajika kuomba leseni ya mkoa husika?

Asante
 
Utaomba Leseni upya ili Halmashauri husika ipate kipato.
Ila TRA ndio hautosajili upya,maana utatumia TIN number ya biashara yako ya awali,wao ni kutoa cheti tu.
Ni muono wangu
 
Utaomba Leseni upya ili Halmashauri husika ipate kipato.
Ila TRA ndio hautosajili upya,maana utatumia TIN number ya biashara yako ya awali,wao ni kutoa cheti tu.
Ni muono wangu
Mwenye data kamili atupatie jamani tunahitaji michango yenu zaidi katika hili.
 
Back
Top Bottom